Intaneti

Je Kuna Mtu Amejaribu Kutumia “Personal Tab” Mpya Kwenye Google Search?

Kwa kundi kubwa la watu, Google imefanikiwa kutufanya tuweaddicted na huduma zake nyingi ikiwa ni pamoja na  Gmail, Photos, Calendar na huduma zingine za Google. Hata hivyo, bado hakuna jukwaa unaloweza kutumia kutafuta mambo yako kwa mara moja …… Hadi sasa !!

Google wameongeza “tab binafsi” ambayo inakuwezesha kutafuta kupitia picha zako binafsi kwenye Google na akaunti yako ya Gmail kutoka kwenye ukurasa wa Google search, kama utakuwa umejiunga(logged in). Ili kupata huduma hii , ni rahisi ingia kwenye  www.google.com na tafuta kwa mfumo wa kawaida. Matokeo yatakapo onyeshwa sehemu iliyoandikwa “more” chini ya”search bar”, kisha chagua “personal” iliyopo kwenye orodha inayoshuka chini.

Je, mtu yeyote amejaribu zoezi hili?

SOMA NA HII:  Angalia Maswali 10 Yanayoongoza Kutafutwa Kwenye Google
Mada zinazohusiana

Zinazohusiana

Leave a Reply

Your email address will not be published.