Nyingine

Je hili ndio gari jipya la Mbwana Samatta?

Mbwana Samatta, mtanzania anayeichezea KRC Genk ya Ubelgiji kupitia mtandao wa instagram amepost picha zikimuonesha akiwa na gari aina ya Mercedes Benz. Hapa nimekuweka picha alizozipost Samatta akiwa na gari hiyo aina ya Mercedes Benz.

 

 

 

Zinazohusiana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *