Ipi tofauti ya msomi na mtu mwenye elimu?

Comment

Habar wadau,

Kwenye maisha yetu ya kila siku unaweza kukutana na mtu amesoma ila elimu hana na mwingine ana elimu lakini hajasoma, je ni ipi tofauti kati ya msomi na mtu mwenye elimu?

Je utofauti uko wapi ? Toa maoni yako.

Up Next

Related Posts

Discussion about this post