Inasikitisha Kumfukuza Claudio Ranieri ni kitendo ambacho hakiwezi kusamehewa – Mashabiki

Masaa machache yaliyopita, Club inayoshiriki ligi kuu ya Uingereza, Leicester City imetangaza kumfukuza kazi kocha wake, Claudio Ranneiri. Mashabiki wengi wa soko hawajafurahishwa na maaamuzi ya kumfukuza kocha huyo kutoka nchini Italia licha ya kushinda kombe la ligi hiyo miezi 9 iliyopita. Hizi ni baadhi ya Tweets za watu mbalimbali…

Leave a Reply