[Historia ya Teknolojia]: Historia fupi ya Netscape na Kuanzishwa Kwake


Netscape

Miaka 19 baada ya kuanzishwa kwa Microsoft, Marc Andreessen and Jim Clark walianzisha Mosaic Communications Corporation, ambayo baadaye liliitwa jina la Netscape Communications Corporation. Kampuni ya kujitegemea ya kompyuta ya nchini Marekani.


Netscape logo 2005–2007, bado inatumika baadhi ya sehemu

Netscape ni jina la biashara linalohusiana na kuendeleza kivinjari cha Netscape. Sasa inamilikiwa na Oath, Inc., ambayo ni kampuni tanzu ya Verizon.

Andreessen alitengeneza Mosaic web browser wakati akifanya kazi katika National Center for Supercomputing Applications (NCSA) katika Chuo Kikuu cha Illinois.


Muonekano wa Netscape Communicator 4.61 kwaajiri ya OS/2 Warp

Netscape inafahamika kwa kuunda lugha ya programu ya JavaScript, lugha iliyotumiwa kutengeneza kurasa za wavuti. Kampuni hiyo inajulikana pia kwa kuendeleza SSL ambayo hutumiwa kuweka usalama wa mawasiliano ya mtandaoni.

0 Comments

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ZINAZOHUSIANA