[Historia ya Teknolojia]: Fahamu Kuanzishwa kwa Programu ya “SATAN”


Tarehe kama ya leo,mwaka 1995– Dan Farmer na Wietse Venema  waliweka mtandaoni programu inayoitwa Security Administrator Tool for Analyzing Networks. Ilifahamika zaidi kwa kifupi kama SATAN.

SATAN

Ilianzishwa kwa ajili ya kusaidia wasimamizi wa mtandao (network administrators) kugundua udhaifu katika mifumo yao, programu hii ilizua utata juu ya maadili ya uhuru wa kutoa zana za usalama kwa umma kwani ilikuwa chombo cha kwanza rafiki kwa mtumiaji.

SATAN haijawahi kufanyiwa maboresho, na imebadilishwa na: Nessus na SAINT.

0 Comments

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ZINAZOHUSIANA