Magari

Hii ndiyo itakuwa teknolojia ya magari China ifikapo 2040

China imeripoti kuwa katika mkakati wa kupiga marufuku matumizi magari ambayo yanatumia mafuta ya petroli na dizeli na kutambulisha magari yanayotunia umeme ili kupunguza tatizo la uchafuzi wa hewa yaani ‘Air Pollution’.

Kwa sasa Serikali ya China, Wanasayansi na wataalamu wanafanya utafiti wa kuwezesha suala hili ambalo linatarajiwa kuanza kutekelezwa ifikapo mwaka 2040 na teknolojia hii inatarajiwa kuleta mapinduzi makubwa sana kwenye maendeleo ya viwanda duniani.

Nchi nyingine zenye mpango kama huu wa kuacha kutumia magari ya mafuta ni pamoja na Uingereza na Ufaransa.

SOMA NA HII:  Sababu za Magari ya Toyota Kuwa Maarufu Sana Tanzania
Mada zinazohusiana

Zinazohusiana

TOA MAONI

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako