Habari za Teknolojia

Herbert Wigwe Wa Access Bank Azungumzia Teknolojia na Ubunifu Kwenye CNBC Africa


CNBC Africa imegeuza tochi yake na kummulika Mkurugenzi Mtendaji na CEO wa taasisi kubwa ya kifedha barani Afrika, Access Bank Plc, Mheshimiwa Herbert Wigwe katika kipindi chake maarufu chenye sifa kubwa, Captains of Industry.

Katika mahojiano hayo ya pekee, Mheshimiwa Wigwe anazungumzia hadithi ya mafanikio ya Access Bank kuongoza katika uvumbuzi na kuwa bingwa wa ukuaji endelevu katika sekta yake.

Benki hiyo inajulikana kwa ubunifu wa teknolojia ya hari ya juu kama PayWithCapture 5, ambayo ni Digital Bank ya Kwanza Afrika. Pia walikuwa wafadhili wa Hackathon 2017 kwa watengenezaji na wabunifu ilifanyika tarehe 23 Machi. Mandhari ya mwaka huu ilikuwa Re:Code Nigeria.

Moja ya mambo muhimu kwenye mahojiano ilikuwa ni kwenye majadiliano juu ya jinsi Access Bank fin-tech model ilivyosaidia Viwanda vya DangoteĀ  kupata wateja.

Angalia mahojiano hayo hapa chini:

SOMA NA HII:  SNORT mfumo wa bure wa Kugundua Kuvamiwa na Kuzuia
Mada zinazohusiana

Zinazohusiana

TOA MAONI

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako