Hebu Tujadili !! Wadau, Unaweza Kuwa Na Mahusiano Na Dada Huyu ?

Mamaaaa wewe unaweza usikutane na mwanamke kama huyu maisha yako yote  😨😨.

Unafikiri una kila kinachohitajika kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwana mazoezi huyu ? ama ukimwona utaishia kushangaa na kumpita.

Je unaweza kuanzisha nae mahusiano?

Toa maoni yako

Leave a Reply