Nyingine

Hali ni mbaya sana kwa tovuti za Pirates na wazee wa Torrent

Je, wewe ni Pirate?

Ikiwa wewe ni haramia mtandaoni, na Google ni injini yako kuu ya utafutaji, basi hivi karibuni hali inaweza kuwa ngumu kwako. Kwa mujibu wa ripoti,ย  Google na injini kadhaa za utafutaji za Kirusi zimezifuta kabisa tovuti za โ€œpirateโ€ 786 kutoka kwenye matokeo yao ya utafutaji. Kwa maneno mengine, unaweza kusema Google haitakupatia matokeo bora zaidi ya torrent kwenye Google Search.

Nimetafuta thepiratebay kwenye google bado inapatikana, kwa hiyo nadhani kwamba tovuti zilizoondolewa ni zile zisizopendwa sana.

Njia gani unachagua kuangalia, je maisha ya tovuti za torrent ni mafupi, au unadhani nini?

SOMA NA HII:  Top 10 ya Movies Zilizopakuliwa Zaidi Kupitia Torrent Wiki Hii
Mada zinazohusiana

Zinazohusiana

Toa Maoni Hapa:

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako