Sambaza:

Umewahi kudownload “movie subtitle” kwenye tovuti maarufu za subtitle?

Inaonekana walaghai (hackers) wamegundua njia ya kulenga watu kama wewe. Kwa mujibu wa Checkpoint, hatari hii mpya ipo katika “media players” na inaruhusu mvamizi kudhibiti kifaa chochote wakati “subtitle file zenye malicious” zinapotumika. Kibaya zaidi, Checkpoint wanasema kuwa programu za kupambana na virusi hazina uwezo wa kuchunguza faili hizi mbaya kwasababu zinatafsiri faili za subtitle kama “benign text file.”

Hizi media players zilizoathirika:

VLC– Programu rasmi iliyorekebishwa inapatikana hapa download kwenye tovuti yao.

PopcornTime– Program iliyorekebishwa unaweza kuipakua  hapa.

Kodi– Link ya code za kufanyia marekebisho hii hapa.

Stremio– Programu rasmi iliyorekebishwa inapatikana hapa  download kwenye website yao.

Unaweza pia kuangalia video ya hapa chini:

SOMA NA HII:  YouTube imesema hizi ndio video 10 bora za mwaka 2017. Huenda Hujaiona Video ya 9

Utafanya nini kujilinda wewe mwenyewe?

Err… Update “media players” zako, links zipo hapo juu.

 

Sambaza:

Leave a Comment

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako