Pokea habari bila malipo kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW kupitia simu yako


Sasa unaweza kupokea taarifa, habari, makala na mengi mengineyo moja kwa moja na tena bila malipo kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW kupitia simu yako ya mkononi ama tablet kwa kutumia “App” ya DW.

kiswahili
App mpya ya DW Kiswahili

Ipate App mpya ya DW kupitia iTunes App Store au Google Play Store. Ukishapakua App yako kwa lugha ya Kiingereza, unaweza kubadili kwa lugha ya Kiswahili kwa kufuata hatua zifautazo:

– Bonyeza misitari mitatu iliyoko pembeni mwa nembo ya DW upande wa juu kushoto – Itakuletea „Top Stories“.

– Bonyeza settings chini kabisa

– Bonyeza „Language“

– Bonyeza Kiswahili na kisha,

– Restart Now

0 Comments

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ZINAZOHUSIANA