Google Talk imekufa rasmi (sio kama tutaikumbuka).

Comment

Naam, Google hatimaye imeua moja ya programu zake za zamani – Google talk. Ninavuta picha jinsi Google wanavyoifuta programu hii:

Vile vile, pamoja na sifa zinazochanganya za programu za mazungumzo kutoka Google, unaweza kusema kwamba jambo hili lilikuwa linatarajiwa kabisa. Pia wamebadilisha Google Talk na Hangouts.

Kwa hiyo, RIP Google Talk:

Ama utaikumbuka? Kutokana na kuwepo kwa tofauti za kimtizamo kati yetu.

Chanzo cha picha: Uproxx

Up Next

Related Posts

Discussion about this post