Intaneti

Google Assistant Sasa ina Chaguo la Sauti ya Kiume. Jifunze Jinsi ya Kuwezesha.

Sijajua ni jinsia gani watapenda zaidi update hii mpya, lakini Google imeongeza sauti ya kiume kwenye Google assistant.

Google Assistant

Kwa sasa, unaweza kuchagua kati ya sauti ya kiume (Voice II) au sauti ya kike (Voice 1). Ili kufanya hivyo, fuatilia hatua hizi.

  1. Fungua programu ya Google Assistant kwa kushikilia “home button” kwa muda mrefu.
  2. Gonga kwenye sehemu ya menyu na kisha fungua “Settings”
  3. Fungua “Preferences” na kisha nenda kwenye “Assistant Voice”.
  4. Badilisha kutoka kwenye Voice I (mwanamke) kuwa Voice II (mwanaume).
  5. Ikiwa bado hauioni, jaribu kuupdate Google app.

SOMA NA HII:  Mambo 6 ya kuzingatia unapotumia Instagram kibiashara

Zinazohusiana

JIUNGE NA MAZUNGUMZO, TOA MAONI YAKO HAPA

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Lako