Nyingine

Good news !! Rayvanny na mpenzi wakewapata mtoto

Habari njema kutoka kwa hitmaker wa Kwetu, Raymond. Staa huyo na mpenzi wake, Fahyma wamebahatika kupata mtoto.

Manager wa Diamond Platnumz , Sallam alitumia ukurasa wake wa Instagram kumuandikia Rayvanny hongera kwa kupata mtoto.

“Hongera mwanangu @rayvanny kwa kupata mtoto (My Favorite Artist WCB) najua unatamani kuwepo kumuona mwanao ila fanya kazi Kijana wangu!!”>>>> Sallam Sk

RayVanny alitumia ukurasa wake wa Instagram kumpongeza mpenzi wake kwa kuwa mama kwa kuandika

“Hongera @fahyma_ Umekua Mama sasa Acha utoto 😂😂😂 NAKUPENDA!!,” ameandika msanii huyo wa WCB.

Hongera @fahyma_ Umekua Mama sasa Acha utoto 😂😂😂 NAKUPENDA!!

A post shared by Raymond (@rayvanny) on

SOMA NA HII:  Kwa nini Mwanamke Anaweza Kuweka Picha Zake Za Uchi Kwenye Simu Yake? - Uzoefu Binafsi

Zinazohusiana

Leave a Reply

Your email address will not be published.