Sambaza:

Kampuni ya GeoPoll Media inayohusika katika kutoa takwimu kwa upande wa vyombo vya habari Afrika, imetoa takwimu ya robo mwaka kwa upande wa Television na Radio zinanzoongoza kuwa na watazamaji na wasikilizaji wengi zaidi nchini Tanzania.

Takwimu hizo zianahusisha Television 10 na Radio 10 zenye wasikilizaj wengi zaidi Tanzania. Kwa upande wa Radio na Television kampuni ya Clouds Media Group uimekuwa kinara kwa kuwa na asilimia kubwa zaidi, huku kampuni ya IPP Media kupitia EA Radio, EATV, ITC,Radio One na XCapital Tv na Radio zikionekana zikifanya vizuri pia katika takwimu hiyo inayolenga kuanzia mida ya saa 12 asubuhi mpaka saa nne usiku.


Sambaza:
SOMA NA HII:  Ifahamu treni yenye spidi kali zaidi duniani

Written by Mediahuru

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili.

Leave a Comment

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako