Sambaza:

Habari za Jumanne wadau!

Leo nimeona tupate burudani kidogo na kufurahisha akili zetu. Nimejifunza maneno mapya ambayo mwanzo sikudhani kama ni ya kiingereza, na napenda kuendelea kujifunza kwakua nawaamini wadau humu ndani na najua hamuwezi kuniangusha.

Swali langu ni jepesi; “Andika neno moja la kiingereza litakalofanya watu watafute dictionary”

Mimi naanza na Pandemonium!!!

Sambaza:

This article has 1 comment

Leave a Comment

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako