Football Gist!! Baada ya kufungwa 3-0 na Crystal Palace..Je Arsenal watacheza Champions League msimu ujao? (Toa maoni yako)

Baada ya  Arsenal kufungwa na Crystal Palace (3-0) , wasiwasi wa mashabiki wengi wa Arsenal ni kutoingia ‘TOP 4’ baada ya miaka 20 kushika nafasi hizo nne za juu ndani ya Premier League; hapa tunaangalia nafasi waliyomaliza tangu msimu wa mwaka 1995 – 1996 waliposhika nafasi ya 5 tangu hapo hawajakosa kwenye ligi ya mabingwa.

MSIMU – NAFASI- MFUNGAJI MWENYE MAGOLI MENGI- IDADI YA MAGOLI

1996–97 – nafasi ya 3 – Ian Wright -magoli 30

1997–98 – nafasi ya 1 – Dennis Bergkamp -magoli 22

1998–99 – nafasi ya 2 – Nicolas Anelka -magoli 19

1999–2000 – nafasi ya 2 – Thierry Henry -magoli 26

2000–01 – nafasi ya 2 – Thierry Henry -magoli 22

2001–02 – nafasi ya 1 – Thierry Henry -magoli 32

2002–03 – nafasi ya 2 – Thierry Henry -magoli 32

2003–04 – nafasi ya 1 – Thierry Henry -magoli 39

2004–05 – nafasi ya 2 – Thierry Henry -magoli 30

2005–06 – nafasi ya 4 – Thierry Henry -magoli 33

2006–07 – nafasi ya 4 – Robin van Persie -magoli 13

2007–08 – nafasi ya 3 – Emmanuel Adebayor -magoli 30

2008–09 – nafasi ya 4 – Robin van Persie -magoli 20

2009–10 – nafasi ya 3 – Cesc Fàbregas -magoli 19

2010–11 – nafasi ya 4 – Robin van Persie -magoli 22

2011–12 – nafasi ya 3 – Robin van Persie -magoli 37

2012–13 – nafasi ya 4 – Theo Walcott – magoli 21

2013–14 – nafasi ya 4 – Olivier Giroud – magoli 22

2014–15 – nafasi ya 3 – Alexis Sánchez -magoli 25

2015–16 – nafasi ya 2 – Olivier Giroud -magoli 24

2016-17 – Ikiwa zimebaki mechi 6 ligi iishe na 2  ambazo ni kiporo.

Je Timu ya Arsenal itashindwa kumaliza nafasi nne za juu na kuangukia kwenye Europa League kwa mala ya kwanza chini ya Arsene Wenger?

Toa Mtazamo Wako!!!

Leave a Reply