[Mixtape Download]: Fivara – ALPHA MIXTAPE

Msanii wa muziki wa Hip Hop kutoka mkoani Mwanza, Fivara ameachia mixtape yake yenye nyimbo 6 ndani yake.

Hii ni mixtape ya kwanza kutoka kwake ambapo imetayarishwa na maproducer tofauti tofauti akiwemo M’Baba, Yass Touches na wengine.

Leave a Reply