BiasharaHabari za TeknolojiaTech Poll

Faida ya mabenki nchini Tanzania imeporomoka, Je uchumi wetu unaendelea?

Kwa mujibu wa gazeti la “THE CITIZEN”, faida katika mabenki mbalimbali makubwa hapa nchini Tanzania imeporomoka.

Mwaka jana benki ya NMB walipata faida ya bilioni 45, mwaka huu bilioni 35, sawa na upungufu wa bilioni 10.

Kwa upande wa benki ya CRDB mwaka jana walipata faida ya bilioni 27, mwaka huu ni bilioni 13, sawa na upungufu ya bilioni 14.

Swali  ni je kwa uchumi wa taifa letu hii ina maana gani kama mabenki makubwa nchini yenye wateja wengi yanakumbwa na tatizo la kushuka kwa faida yake ya mwaka ?

Je kama hali hii itaendelea na benk zikazidi kupata hasara, Kwa mtazamo wako zitaweza kujiendesha miaka mitano ama kumi ijayo?

SOMA NA HII:  Facebook kuishirikisha Marekani kuchunguza Matangazo ya Urusi

Zinazohusiana

Leave a Reply

Your email address will not be published.