Home Tech Gist Facebook ilianza kwenye desktop, sasa inakuja kwenye Tv yako

Facebook ilianza kwenye desktop, sasa inakuja kwenye Tv yako

0
0

Siku ya jumanne  February 14,  Facebook wametangaza mpango wa kuanzisha apps kwajili ya Apple TV, Amazon Fire TV na Samsung Smart TV kuleta video wanazoshare watu kwenye mtandao huo wa kijamii moja kwa moja hadi kwenye TV sebureni kwako.

Video app hii itaanza kazi hivi karibuni kwenye TV platforms hizo, huku ukiwepo mpango wa kuzindua huduma hii kwenye platforms zingine hapo baadae , Uzinduzi huu unaweza kuifanya Facebook ifaidike kwa kiasi kikubwa na matangazo ya TV.

Tayari, Facebook wamewekeza kwenye huduma za live video, imefanya utafutaji wa videos kuwa rahisi na tayari imeanza kuweka mikono yake kwenye soko kwa kuwa na original content.

Mark Zuckerberg , Mwanzilishi wa Facebook amesema:

“I see video as a megatrend on the same order as mobile. That’s why we’re going to keep putting video first across our family of apps and making it easier for people to capture and share video in new ways” he said.

(0)

LEAVE YOUR COMMENT

Your email address will not be published. Required fields are marked *