Nyingine

Europa League!! Waye Rooney Ameachwa Kwenye Kikosi Cha Man United kitakachocheza leo (Soma)

Captain wa Manchester United Wayne Rooney ameachwa kwenye kikosi kitakachocheza mechi ya robo fainali ya Europa League leo.

Stiker huyo wa zamani wa Uingereza ambaye kwa sasa ana miaka 31 alifanya mazoezi na wachacheza wenzake siku ya jumatano lakini hajasafiri na timu kwenda Ubelgiji.

Rooney amekosa mechi mbili zilizopita za United kutokana na maumivu kwenye ankle.

Mfungaji bora wa Anderlecht , Lukasz Teodorczyk naye anaweza asiwepo kutokana na matatizo ya bega.

Mchezaji huyu kutoka Poland amefunga magoli 20 kwenye ligi msimu huu na magoli matano kwenye Europa League.

Kocha wa Anderlecht, Rene Weiler amesema Teodorczyk hata anza kwenye kikosi cha kwanza ila anaweza kuweka bench.

Alipoulizwa kuhusu Rooney, Mourinho amesema:

“He is not happy with his condition.

“He has bad feelings with his ankle and he’s not ready to play. Let’s see for the weekend, let’s see for next week.

“We don’t have many players and need everyone to try to be available.”

SOMA NA HII:  Unatumia "Lock ? " ya aina gani kwenye simu yako?

Zinazohusiana

TOA MAONI

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako