Elimu bila malipo maana yake serikali imeshindwa elimu bure ?

Comment

“Serikali haikuwahi kusema kuwa itatoa Elimu bure kuanzia shule ya msingi Hadi kidato cha nne, wananchi walielewa vibaya. Serikali ilisema itatoa Elimu Bila Malipo na sio elimu bure.”-Waziri Simbachawene.

Je kwa kauli ya msaidizi wa waziri wa TAMISEMI kuhusu elimu bure ina maana serikali imeshindwa elimu bure na sasa wazazi wajiandae kutoa michango ?

VIDEO : Rais Dr Magufuli awahakikishia watanzania kutekeleza ahadi yake ya elimu bure.

Up Next

Related Posts

Discussion about this post

error: Content is protected !!