Mazungumzo !!! Donald Trump Kuzungumza Na Rais Wa Kenya Uhuru Kenyatta

Comment

Kwa mara ya kwanza tangu apate ushindi katika uchaguzi mkuu uliofanyika mwishoni mwa mwaka jana. Rais wa Marekani, Donald Trump atazungumza na rais wa Kenya Uhuru Kenyatta kwa njia ya simu .

Uhuru Kenyatta atakuwa rais wa nne wa Afrika kuzungumza na rais huyo kutoka taifa lenye uwezo mkubwa duniani.

Marais wengine wa Afrika aliozungumza nao kwa njia ya simu ni rais wa Misri Abdel Fatah al Sisi, rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma na rais wa Nigeria Muhammadu Buhari .

Up Next

Related Posts

Discussion about this post