Donald Trump -“Fake News media” ni adui wa watu

Baada ya kuwepo kwa kumzozo kutoka kwa  vyombo vya habari vyenye mrengo wa kushoto juu ya Press Conference yake iliyofanyika siku ya Alhamisi wiki hii , ambapo  alivishambulia vyombo vya habari zaidi kwenye mkutano huo.

Rais wa Marekani, Donald Trump ametumia akaunti yake Twitter kuwashambulia zaidi,   akisema kwamba Fake News media ni adui wa watu wa Marekani.

One Response

  1. Baby Janet February 18, 2017

Leave a Reply