Nyingine

Diamond Kuandika Historia na manukato ya “Chibu Perfume”

Baada ya mashabiki kusubiri kwa hamu manukato ya Diamond tangu alipoweka hadharani ujio wa biashara hiyo mwezi Novemba mwaka jana.

Hatimaye, Diamond ametangaza rasmi siku ambayo ataachia manukato yake yajulikanayo kama Chibu Perfume.

Kupitia mtandao wa Istagram ametaja siku ya kuingiza sokoni kwa perfume,

“The Only Scent you deserve, @chibuperfume by Diamond Platnumz coming out this friday!! #TheScentYouDeserve.”

The Only Scent you deserve, @chibuperfume by Diamond Platnumz coming out this friday!! #TheScentYouDeserve

A post shared by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on


Endapo hilo litafanikiwa Diamond  atakuwa msanii wa kwanza wa kiume Tanzania kuachia bidhaa ya perfume kupitia brand yake.

SOMA NA HII:  Marufuku Matumizi ya Takwimu za Kampuni ya Geopoll - Dkt. Mwakyembe

Zinazohusiana

Leave a Reply

Your email address will not be published.