Dayna Nyange na level za kimataifa ang’ara tuzo za BEA, Nigeria 2017

Comment

Mwimbaji wa wimbo unaotamba kwa sasa kwenye game ya bongo fleva  ‘Komela’ Dayna Nyange amechukua tuzo mbili za BEA nchini Nigeria zilizotolewa weekend iliyopita.

Dayna amechukua tuzo ya Best African Artist pamoja na Best Vocal Performance Female na kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika:

Up Next

Related Posts

Discussion about this post

error: Content is protected !!