Collabo ya Joh Makini na Davido imekamilika washoot video Johannesburg, Afrika Kusini

Comment

Hatimaye Joh Makini na Davido wamefanikiwa kushoot video ya collabo yao. Kupitia Instagram, Davido ametoa habari hizo njema kwa kuweka picha akiwa na Joh Makini na warembo pembeni yao.

“Back to work !! On set 📽 shoot @johmakinitz ft Davido ….. TZ 🇹🇿 x NAIJA 🇳🇬,” ameandika.

Video hiyo imefanyika jijini Johannesburg, Afrika Kusini.

Wimbo huo una takriban mwaka na nusu tangu urekodiwe na ni video pekee iliyokuwa inasubiriwa ili uachiwe rasmi.

Up Next

Related Posts

Discussion about this post