Home Windows
[xgrid layout="1" condition="" order="DESC" featured="1" cats="763" speed="5000" count="5"]

Windows

Jinsi ya Kuwezesha Icon ya “My Computer” kwenye Windows 7 Desktop

Rurudi “My Computer Shortcut” kwenye Sehemu Yake Sahihi Ikiwa wewe ni mtumiaji wa Windows uliyehamia kwenye Windows 7, labda umeona kwamba icons kadhaa hazipo kwenye Desktop. Hii ni kweli hasa ikiwa umehamia kutoka toleo la zamani la Windows kama XP. My Computer Icon iko Wapi? Moja ya icons ambazo huenda unaikumbuka zaidi ni icon ya […]

Jinsi ya Kuongeza Gadgets katika Windows 7

Jinsi ya Kuongeza Gadgets katika Windows 7

Hatua ya 1: Kuleta Gadget Window Mojawapo ya changamoto za kuhama kutoka kwenye Windows Vista hadi Windows 7 ni kujifunza sehemu ambazo vitu vimehamia. Kwa mfano, Vista ilikuwa na “Gadgets” – programu ndogo ya uzalishaji ambazo daima huonekana kwenye desktop yako — kimewekwa kwa default upande wa kulia wa skrini. Windows 7, katika jitihada za […]

Jinsi ya Kuwezesha Icon ya “My Computer” kwenye Windows 7 Desktop

Jinsi ya Kusafisha “Windows Desktop” ili Kuongeza Kasi ya Kompyuta

Ikiwa kompyuta yako zamani ilikuwa inafanya kazi kwa haraka sasa imeshuka na umegundua hilo, angalia kwa karibu desktop yako. Je! Imejaa icons, screenshots na faili? Kila moja ya vitu hivi huchukua “memory” ambayo kompyuta yako inaweza kuiweka kwenye matumizi bora zaidi mahali pengine. Ili kuongeza kasi ya kompyuta yako, safisha Windows desktop. Je! Kuna Faili […]

Jinsi ya Kuwezesha Icon ya “My Computer” kwenye Windows 7 Desktop

Jinsi ya Kufungua “New Document” katika WordPad kwa Kutumia Windows 7

1.Fungua WordPad katika Windows 7 Kwa kutumia Search Jinsi ya Kutengeneza “New Document” katika WordPad kwa Windows 7 Ingawa mara nyingi hupuuzwa kama word processor, WordPad, hasa toleo la karibuni limejumuishwa kwenye Windows 7 ikiwa na vipengele vingi vinavyoweza kuwavutia watumiaji wengi kutumia “Word” kwa ajili ya kuhariri taarifa mbalimbali WordPad inaweza kutumika badala ya […]

Jinsi ya Kuwezesha Icon ya “My Computer” kwenye Windows 7 Desktop

Jinsi ya kutumia Windows Keyboard Shortcut Alt + Underline

Hii ni njia nyingine ya mkato ya Windows ya keyboard (Windows keyboard shortcut)  kwajili ya mashabiki wa kuongeza uzalishaji popote pale. Njia za mkato ni amri ambazo zinaokoa muda kwa kufanya kazi ya Windows katika vipindi vidogo – badala ya kutumia mouse yako kwajili ya kubonyeza kipengee cha menyu, kuchagua faili, na kadhalika. Keyboard shortcut […]

Jinsi ya Kuwezesha Icon ya “My Computer” kwenye Windows 7 Desktop

Jinsi ya Kubadilisha Screen Resolution katika Windows

1. Screen Resolution Settings kwenye Control Panel Screen resolution kwenye monitor yako itaamua ukubwa wa maandishi, picha, na icons kwenye skrini. Kuweka screen resolution sahihi ni muhimu kwa sababu screen resolution ambayo ni kubwa sana katika maandishi na graphics ambazo ni ndogo sana zinaweza kusababisha eyestrain isiyohitajika. Kwa upande mwingine, kwa kutumia screen resolution ambayo […]

Jinsi ya Kuwezesha Icon ya “My Computer” kwenye Windows 7 Desktop

Kitu Gani Natakiwa Kufahamu Kuhusu Muonekano “UI” Mpya Ya Windows 8?

Swali: Ninahitaji kujua nini kuhusu UI ya Windows 8? Labda mabadiliko makubwa ambayo Microsoft imefanya kwenye mfumo wa uendeshaji (operating system) wa Windows 8 ni ushirikiano wa user-interface mpya kabisa. Watumiaji wa mifumo ya uendeshaji ya Windows ya awali wanaweza kujikuta wamechanganyikiwa kutokana na kukosekana kwa “Start menu” na programu mpya ambazo hazina kifungo (button) nyekundu […]

Maelezo Kuhusu Matoleo Ya Microsoft Windows 8/8.1

Maelezo Kuhusu Matoleo Ya Microsoft Windows 8/8.1

Unachotakiwa kufahamu kuhusu matoleo mbalimbali ya Windows 8 / 8.1. Windows 8 imetolewa kwa umma mwishoni mwa mwaka 2012, lakini wengi wenu huenda bado mnatumia programu ya mfumo wa uendeshaji wa zamani. Katika kila toleo  la Windows kuna matoleo mbalimbali ya OS hutolewa pia. Kwa kweli, ipo mpya tangu Windows 8 ilipokuwa ya kwanza – […]

Kitu Gani Natakiwa Kufahamu Kuhusu Muonekano “UI” Mpya Ya Windows 8?

Charms Bar Kwenye Windows 8 Ni Nini na Jinsi ya Kuitumia

Katika Windows 8 na 8.1, hakuna Start menu lakini kuna Charms aplenty Ikiwa unatafuta orodha ya Mwanzo (Start menu) katika Windows 8 unaweza kusema haipo, kwa sababu haipo tena kama ulivyo zoea; Badala yake, utakutana na Charms bar. Charms bar katika Windows 8 na 8.1 ni sawa na Start Menu katika matoleo ya awali ya […]

Kitu Gani Natakiwa Kufahamu Kuhusu Muonekano “UI” Mpya Ya Windows 8?

Jinsi ya Kubadili neno la siri (Password) kwenye Windows 7

Kubadilisha neno la siri (password) kwenye Windows 7 mara kwa mara ni tabia nzuri ya kukusaidia kuweka PC yako salama. Unaweza pia kutaka kubadilisha password yako ya Windows 7 ikiwa unapata shida kukumbuka au kutumia ya sasa. Kubadilisha nenola siri kwenye Windows 7 ni rahisi sana. Fuata hatua zilizo hapa chini ili kubadilisha password yako […]

Jinsi ya Kuwezesha Icon ya “My Computer” kwenye Windows 7 Desktop

Listi ya Executable File Extensions

Faili yenye executable file extension ina maana kwamba muundo wa faili (file format) ina uwezo wa kuendesha kazi moja kwa moja (automatic task). Hii ni tofauti na aina nyingine ya mafaili ambayo yanaonyesha tu data, kucheza sauti au video, nk. Kwa maneno mengine, ukifungua faili na moja ya file extensions hizi, kompyuta yako inaweza, bila […]

Jinsi ya Kuwezesha Icon ya “My Computer” kwenye Windows 7 Desktop

Malware Ni Nini ? Aina Za Malware , Na Jinsi Ya Kujikinga

Malware, ni mchanganyiko uliofupishwa wa maneno malicious na software, ni neno linalotumika kutambulisha programu yoyote ile iliyo na nia mbaya (malicious intent). Nia hiyo mbaya mara nyingi hutishia usalama wa taarifa zako binafsi au kuunda “backdoor” kwenye kompyuta ili mtu mwingine aweze kuingia kwenye kompyuta yako bila ruhusa yako. Hata hivyo, programu ambayo inafanya kitu […]

Jinsi ya Kuwezesha Icon ya “My Computer” kwenye Windows 7 Desktop

Rudisha Vitu/Data zako Zilizopotea Katika Flash/External HDD Kwa Urahisi

Je ulishawahi kukutana na tatizo la kupotea kwa data zako kwenye flash au External hard disk?ternal hard disk yako kwenye Kompyuta inaonyesha ina  vitu/data ila ukifungua haukuti kitu? UFAFANUZI; Kwanza hupaswi kuformat flash/external hard disk yako Kwa sababu vitu vyako vipo salama kabisa Vitu vyako vimefichwaa na aina yaVirus anayeitwa “Skypee” (aina ya virusi inayounda […]

Jinsi ya Kuwezesha Icon ya “My Computer” kwenye Windows 7 Desktop

Njia 5 za Kuchukua Screenshots kwenye Windows 10

Screenshots ni njia nzuri sana ya kuandaa na kushirikisha vitu vilivyopo kwenye skrini yako. Inaweza kuwa tweet ambayo unadhani mtu anaweza kuifuta. Uwezo wa kuhifadhi screen yako kwa matumizi mengine ni jambo muhimu. Kwa bahati nzuri, kuna zaidi ya njia chache za ku-capture skrini unayotaka kuhifadhi. Kuna kitufe cha Print Screen, njia ambayo inatengeneza faili […]

Jinsi ya Kuwezesha Icon ya “My Computer” kwenye Windows 7 Desktop

Orodha ndefu ya njia za mkato “Keyboard Shortcuts” za Windows 10

Muda wowote unaweza kugusa mchanganyiko wa ‘key” kwenye kibodi (keyboard) ya Kompyuta yako badala ya kutumia “mouse” kwenye skrini, unaokoa muda mwingi. Windows 10 ina orodha ndefu ya njia za mkato zinazosaidia kukuza vipengele vipya kama vile Cortana, safari ndani ya OS au kupanga mpangilio wa desktop yako kwa urahisi. Ingawa unaweza kujua baadhi ya […]

Jinsi ya Kuwezesha Icon ya “My Computer” kwenye Windows 7 Desktop

AutoReply 2.2 – Email Auto-Responder

AutoReply ni rahisi kutumia, lakini ni autoresponder yenye nguvu. Inakosa vipengele vya juu vinavyohitajika kwa madhumuni ya masoko (marketing purposes), AutoReply ni nzuri kwa auto-replies wakati wa mapumziko, kwa mfano Tembelea Tovuti Yao Faida AutoReply ni rahisi kuiset na kutumia Inakuwezesha kuchagua ni ujumbe gani inapaswa kujibu Haijibu ujumbe ule ule kwa mtumiaji mmoja/sawa Hasara […]

Jinsi ya Kuwezesha Icon ya “My Computer” kwenye Windows 7 Desktop