Home Tech Poll
[xgrid layout="1" condition="" order="DESC" featured="1" cats="470" speed="5000" count="5"]

Tech Poll

Faida ya mabenki nchini Tanzania imeporomoka, Je uchumi wetu unaendelea?

Kwa mujibu wa gazeti la “THE CITIZEN”, faida katika mabenki mbalimbali makubwa hapa nchini Tanzania imeporomoka. Mwaka jana benki ya NMB walipata faida ya bilioni 45, mwaka huu bilioni 35, sawa na upungufu wa bilioni 10. Kwa upande wa benki ya CRDB mwaka jana walipata faida ya bilioni 27, mwaka huu ni bilioni 13, sawa […]

Benki ya CRDB Kutumia Namba ya Simu Kufungua Akaunti

Ipi ni sahihi, Tanzania “Lipa kwa M-Pesa” au Kenya “Lipa na M-Pesa” ?

Ujumbe rahisi wa kuhamisha fedha kwa njia ya simu umefungua mjadala juu ya tofauti kati ya Kiswahili kinachozungumzwa nchini Kenya na Tanzania. Kwa hiyo, swali ni: Je Safaricom wanakosea wanaposema Lipa na M-Pesa? Naam, Watanzania wanafikiri hivyo. Tanzania unaambiwa Lipa kwa M-Pesa. Ishara inayowaambia wateja nchini Tanzania kuwa lipa kwa na Kenya lipa na imezua […]

Faida ya mabenki nchini Tanzania imeporomoka, Je uchumi wetu unaendelea?

Pumzika kwa Amani Teknolojia ya zamani

Dunia inamchanganyiko wa kila aina ya Mlengo wa Maisha. Lakini Sayansi ni kitu ambacho kila kiumbe duniani kimenufaika nayo kwa kujua au kutokujua. Kwenye picha ni baadhi ya teknolojia za zamani, wengi tumezitumia wakati tunakua (pole kama hujatumia vifaa hivi vya tehama kwenye maisha yako !!!). Tuambie wewe unakumbuka nini kuhusu vifaa hivi vya zamani […]

Faida ya mabenki nchini Tanzania imeporomoka, Je uchumi wetu unaendelea?

Je Opera Mini Browser ndiyo browser bora kwajili ya simu za mkononi?

Opera Mini ni browser maarufu sana hasa kwa vijana hapa Tanzania. Watumiaji wengi wa simu za kisasa hasa wale wanaopenda kutumia intaneti wanasema Opera ni nzuri. Kuna browser nyingi kwajili ya simu kama vile Mozilla, Chrome,dolphin,Safari, Uc browser, Opera Mini na nyingine nyingi ila karibu zote zinafanana na unaweza kutumia moja ukaacha nyingine. Ila Opera […]

AfriCar Group inatafsiri tovuti zake katika lugha 10 ili kuongeza watumiaji

Unaikadiliaje Mozilla, Samahani, Nembo Mpya ya Moz://a: 😊 au 😕 ?

Mozilla, shirika lisilo la kiserikali linalosimamia na kuendesha Firefox limefanya mabadiliko makubwa ambayo yamebadiliko karibu kila kitu, namaanisha, nembo, font, color palette, usanifu wa lugha, na picha. Tukiangalia mabadiliko yaliyofanyika: Nembo ya kampuni hii ndiyo inazungumziwa zaidi. Sasa herufi “ill” kwenye jina la Mozilla zimebadilishwa kwa kuweka koloni na mikwaju inayounda anwani ya tovuti yoyote […]

Faida ya mabenki nchini Tanzania imeporomoka, Je uchumi wetu unaendelea?

Ni Ipi Kati Ya Makampuni Haya Ya Teknolojia Utaacha Ipotee – Google, Facebook, Alphabet, au Microsoft?

Nimekutana na hii “tech poll” na kupata wazo la kukushirikisha, ili niweze kujua ni nini unafikiria kuhusu mada hii hapo juu. Sasa, hebu fikiria kama unaweza kuokoa makampuni matatu tu ya tehama kati ya makampuni 4 makubwa Duniani- Niambie ni Kampuni gani ambayo wewe utakuwa tayari ipotee na toa sababu za kwanini hutaiokoa kampuni hiyo? […]

Faida ya mabenki nchini Tanzania imeporomoka, Je uchumi wetu unaendelea?

Swali la Siku kutoka kwa Denzel Washington: Una Tumia Simu Yako au Simu Yako Inakutumia ?

Katika mahojiano yake na BBC akiitangaza movie yake mpya, Fences, Denzel Washington alijaribu kuelezea athari za “habari za uongo.” Washington aligoma kukubaliana na madai ya kwamba “habari za uongo” ndio tatizo kubwa, na kusema kuwa tatizo ni “Information overload.” unaweza kuangalia mahojiano hapa chini: Kitu kilichonivutia zaidi kwenye mahojiano haya ni kauli hii: “Watu wanatakiwa […]

Faida ya mabenki nchini Tanzania imeporomoka, Je uchumi wetu unaendelea?