Home Tech Gist
[xgrid layout="1" condition="" order="DESC" featured="1" cats="57" speed="5000" count="5"]

Tech Gist

Tweet ya Obama Kuhusu Ghasia za Charlottesville Imependwa Zaidi Katika Historia ya Twitter

Tweet ya Rais huyo wa zamani kuhusu vurugu za huko Virginia imeipita tweet ya Ariana Grande kuhusu ya mabomu ya Uingereza. Barack Obama bado anashirikiana na raia. Jumamosi tweet na rais wa zamani wa Marekani imekuwa maarufu zaidi katika historia ya Twitter, kwa mujibu wa Twitter, Imependwa zaidi ya mara milioni 2.7 hadi mwishoni mwa […]

Facebook kushindana na Youtube na huduma yake mpya ya video, Watch

Facebook kushindana na Youtube na huduma yake mpya ya video, Watch

Facebook imeanzisha Watch, kichupo (tab) kipya kwenye mtandao huo wa kijamii ambacho huonyesha maonyesho (shows) mbalimbali kwa watumiaji kwa urahisi. Watch itakuwa inapatikana kwenye simu, kwenye desktop na laptop, na katika app ya TV, ikiwa na orodha ya ufuatiliaji ambayo inakuwezesha kuangalia vipindi baadaye. Ingawa, baadhi ya maonyesho yatakayo onyeshwa na Watch yamefadhiliwa na Facebook, […]

Tweet ya Obama Kuhusu Ghasia za Charlottesville Imependwa Zaidi Katika Historia ya Twitter

Satelaiti ya kwanza ya Ghana sasa inafanya kazi

Satelaiti ya kwanza ya Ghana ilizinduliwa hivi karibuni katika obiti (orbit) sasa inafanya kazi, Kwa mujibu wa ripoti za TechCrunch. Kifaa hicho ni cubesat, “miniature satellite” ambayo ina uzito wa 1.33kg. GhanaSat-1 cubesat ilirushwa kwenye roketi ya SpaceX mwezi Julai na imeshafika katika obiti. Akizungumza na TechCrunch, profesa wa Ghana Richard Damoah alisema satellite ina […]

Tweet ya Obama Kuhusu Ghasia za Charlottesville Imependwa Zaidi Katika Historia ya Twitter

Tigo imeboresha mafunzo ya Tehama Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)

Kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, imetoa msaada wa kompyuta 47 zenye thamani ya Sh. milioni 71 kwa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ili kuimarisha juhudi za taasisi hiyo za kutoa elimu ya juu nchini. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Tigo, Simon Karikari, akikabidhi kompyuta hizo, alisema kuwa kupitia sera ya uwajibikaji, kampuni hiyo imejikita […]

Tweet ya Obama Kuhusu Ghasia za Charlottesville Imependwa Zaidi Katika Historia ya Twitter

Miji yenye teknolojia kubwa zaidi dunia

Miji yenye teknolojia ya juu dunia huvutia, hutoa upatikanaji wa mitaji ya ubia, ni nyumbani kwa start-ups  na incubators, ina sifa za kuwa miji bora zaidi – hufanya iwe na uwezo na yenye nguvu – na ni chagua la kwanza kwa upanuzi na uhamisho wa mashirika makubwa ama kampuni. Uchunguzi wa hivi karibuni uliofanywa na […]

Tweet ya Obama Kuhusu Ghasia za Charlottesville Imependwa Zaidi Katika Historia ya Twitter

Kampuni ya Tecno Sasa Kuja na Simu Kwaajili ya Mashabiki wa mpira

Kampuni maarufu Africa kwa kutengeneza simu za mkononi yaani Tecno Mobile hivi karibuni imefanikisha kuingia makubaliano ya kibiashara na timu kubwa ya mpira wa miguu ya uingereza ya Manchester United ambapo kampuni hiyo imepanga kutoa simu zenye ubora huku zikiwa na rangi pamoja na nembo ya timu hiyo, imeripoti gazeti la nipashe. Kwa mujibu wa […]

Tweet ya Obama Kuhusu Ghasia za Charlottesville Imependwa Zaidi Katika Historia ya Twitter

GeoPoll: Zifahamu Radio na Television zinazoongoza kutazamwa na kusikilizwa zaidi Tanzania

Kampuni ya GeoPoll Media inayohusika katika kutoa takwimu kwa upande wa vyombo vya habari Afrika, imetoa takwimu ya robo mwaka kwa upande wa Television na Radio zinanzoongoza kuwa na watazamaji na wasikilizaji wengi zaidi nchini Tanzania. Takwimu hizo zianahusisha Television 10 na Radio 10 zenye wasikilizaj wengi zaidi Tanzania. Kwa upande wa Radio na Television […]

Ed Sheeran ameigiza vizuri zaidi kwenye msimu wa 7 wa Game of Thrones

Tanzania Authorities drafting another law targeting the Cyberspace

DAYS are numbered for cybercriminals as the government works on a new law to give enforcement ‘teeth’ against communication intruders, block ill information dissemination and to facilitate use of ‘cyber evidence’ in courts of law. The law to be known as the Personal Data Protection Act will be ready in a year’s time from now […]

Tweet ya Obama Kuhusu Ghasia za Charlottesville Imependwa Zaidi Katika Historia ya Twitter

Sasa kuna teknolojia mpya katika sekta ya Ujenzi

Katika kuunga mkono juhudi za Serikali kuleta maendeleo kwa wananchi kampuni ya magari ya Mantrack Tanzania imeendesha warsha fupi kwa lengo la kutambulisha vifaa na teknolojia mpya itakayoongeza ufanisi wa kazi hasa katika sekta ya ujenzi. Akizungumza na waandishi wa habari, Mwakilishi wa Mantrack Tanzania alisema wana lengo la kuendana na kasi ya Serikali ya […]

Tweet ya Obama Kuhusu Ghasia za Charlottesville Imependwa Zaidi Katika Historia ya Twitter

Tanzania Yatangazwa Nchi Bora Kwa Utalii Afrika

FAHAMU VIVUTIO VYA UTALII NCHINI Ruaha, Serengeti, Katavi, Mkomazi, Mikumi, Tarangire, Udzungwa, Kilimanjaro, Milima ya Mahale, Saadani, Ziwa manyara, Arusha, Kitulo, Rubondo, Gombe, Kisiwa cha Saa nane. Vivutio vingine ni maeneo ya kihistoria na ya kiakiolojia, hifadhi zenye wanyama wengi, fukwe zisizochafuliwa na wingi wa utamaduni wa makabila 158. Mwambao wa bahari wenye urefu wa […]

Satelaiti ya kwanza ya Ghana sasa inafanya kazi

‘Female Iron Man’ amekamatwa akijaribu kuingiza iPhones 102 nchini China kinyume cha sheria

Mwanamke mmoja nchini China amekamatwa na askari wa uhamiaji wa nchi hiyo akiwa na simu za iPhones 102 ambazo zimefungwa kwenye mwili wake akiwa anasafiri kutoka Hong Kong kwenda  China mainland, kwa mujibu wa  9to5Mac. Mwanamke huyo amepewa jina la“female Iron Man” na vyombo vya habari vya nchi hiyo, Alikamatwa baada ya maofisa katika jimbo la […]

Satelaiti ya kwanza ya Ghana sasa inafanya kazi

Top 10 Ya Wafanyakazi Wa BBC Wanaolipwa Mishahara Mikubwa Zaidi

Chris Evans amekuwa wa kwanza katika orodha ya wafanyakazi nyota wa BBC wanaolipwa mishahara ya juu zaidi. Alilipwa kati ya pauni milioni 2.2 na milioni 2.25 mwaka 2016/2017, huku Claudia Winkleman akiwa mwanamke mfanyakazi nyota wa BBC anayelipwa mshahara wa juu zaidi, akiwa anapiliwa kati ya pauni 450,000 na 500,000. Evans ni mtangazaji na mwandaaji […]

Tweet ya Obama Kuhusu Ghasia za Charlottesville Imependwa Zaidi Katika Historia ya Twitter

Mtoto Apandikizwa Mikono Mipya Kutoka Kwa Mtu Mwingine

Kijana wa kiume nchini Marekani ameweka historia kwa kuwa mtoto wa kwanza kupandikizwa mikono na kuweza kucheza ipasavyo mpira wa besiboli. Ni miaka miwili tangu Zion Harvey ambaye sasa ana umri wa miaka 10, kupandikizwa mikono mipya, na madaktari wake wanasema kuwa wamefurahishwa na jinsi anavyoendelea. Zion kwa sasa anaweza kuandika, kujilisha na pia kujivalisha […]

Unataka Kuishi Miaka Mingi ? Siri Ipo Kwenye Kahawa

Ed Sheeran ameigiza vizuri zaidi kwenye msimu wa 7 wa Game of Thrones

Mwanamuziki Ed Sheeran ameshirikishwa katika mwendelezo wa filamu za Game of Thrones – kama mwanajeshi. Nyota huyo wa muziki aina ya Pop, anaimba na pia kuzungumza kwa muda mfupi katika makala ya sasa ya filamu hizo ambayo sehemu ya kwanza ya makala ya sasa ilipeperushwa mapema leo. Sehemu hiyo ambayo imepewa jina Dragonstone, ndiyo ya […]

GeoPoll: Zifahamu Radio na Television zinazoongoza kutazamwa na kusikilizwa zaidi Tanzania

Kifaa hiki kitakuwezesha kurekodi simu zote kwenye iPhone

Kurekodi simu unazopiga ama kupigiwa kwenye iPhone inaweza kuwa mtihani. Unatakiwa kulipa programu/app ambayo inawezekana tu kufanya kazi kwa kutumia dialer ya kawaida (au programu ya simu, ambayo haikusaidia ikiwa unahitaji kupiga simu kupitia WhatsApp, Skype, au huduma tofauti), au unaishia kutumia Rekodi ya tepi au simu nyingine kurekodi simu zako kupitia spika. Lakini PhotoFast […]

Tweet ya Obama Kuhusu Ghasia za Charlottesville Imependwa Zaidi Katika Historia ya Twitter

Mwanamuziki Akon kununua asilimia 50 ya kampuni ya kupakua muziki Afrika

Mwanamuziki kutoka nchini Senegal na Marekani, Akon siku ya jumamosi alitangaza mpango wake wa kununua hisa asilimia 50 za kampuni ya huduma ya kupakua muziki wa Kiafrika Musik Bi, Kwa sasa kampuni hiyo inapambana kupata nafasi kubwa kwenye soko baada ya uzinduzi wake miezi 18 iliyopita. Jukwaa la kwanza barani Afrika la kupakua muziki kisheria, […]

Tweet ya Obama Kuhusu Ghasia za Charlottesville Imependwa Zaidi Katika Historia ya Twitter

Unataka Kuishi Miaka Mingi ? Siri Ipo Kwenye Kahawa

Ukikunywa vikombe vitatu vya kahawa kwa siku unaweza kuishi miaka mingi, kwa mujibu wa utafiti uliofanyiwa karibu watu nusu milioni kutoka nchi 10 za Ulaya. Utafiti huo uliochapishwa kwenye jarida na Annals of Internal Medicine, unasema kuwa unywaji wa kahawa unaweza kuongeza maisha ya mtu. Lakini wataalamau wanasema kuwa ni vigumu kusema kuwa ikiwa ni […]

Mtoto Apandikizwa Mikono Mipya Kutoka Kwa Mtu Mwingine

Deni la kodi Sh4.5 bilioni lasababisha TRA kufunga ofisi za Sahara Media Group (Star TV & Radio Free Africa-RFA)

Ofisi za Kampuni ya Sahara Media Group inayomiliki kituo cha televisheni cha Star na cha redio cha Radio Free Africa (RFA) zimefungwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa deni la Sh4.5 bilioni. Ofisi hizo zimefungwa leo Alhamisi (Julai 13) na wakala wa TRA, Kampuni ya Sukah Auction Mart and Court Brokers ya jijini Mwanza. […]

Tweet ya Obama Kuhusu Ghasia za Charlottesville Imependwa Zaidi Katika Historia ya Twitter

Wimbo wa Wiz Khalifa waupiku ule Wa ”Gangnam Style” YouTube

Psy’s Gangnam Style sio video inayotazamwa zaidi katika mtandao wa Youtube. Wimbo huo maarufu kutoka Korea Kusini ulikuwa wimbo uliochezwa sana katika mtandao huo katika kipindi cha miaka mitano iliopita. Kanda hiyo ya video iliopata umaarufu hadi kuweka rekodi ya wimbo uliochezwa sana katika YouTube, hatua iliofanya kampuni hiyo kuandika alama mpya ya siri ya […]

GeoPoll: Zifahamu Radio na Television zinazoongoza kutazamwa na kusikilizwa zaidi Tanzania

YouTube Imesababisha Amuue mpenzi wake !!

Mwanamke mmoja mjini Minesesotta nchini Marekani amehukumiwa kwa kumpiga risasi na kumuua mpenzi wake katika kile kinachosemekana ni mgogoro wa mtandaoni. Monalisa Perez mwenye umri wa miaka 19 aliwekwa kizuizini baada ya kumpiga risasi Pedro Ruiz alipokuwa akshikilia kitabu katika kifua chake akidhani kitazuia risasi hiyo. Wawili hao wana mtoto wa miaka mitatu na takriban […]

Tweet ya Obama Kuhusu Ghasia za Charlottesville Imependwa Zaidi Katika Historia ya Twitter