Home SIMU
[xgrid layout="1" condition="" order="DESC" featured="1" cats="473" speed="5000" count="5"]

SIMU

Watumiaji Wa Simu Za Mkononi Afrika Kufikia Nusu Bilioni mwaka 2020

Kwa mujibu wa utafiti mpya wa GSMA, watu zaidi ya nusu bilioni kutoka Kusini mwa Jangwa la Sahara-Afrika watakuwa wamejiandikisha kwenye huduma ya simu mwishoni mwa karne hii. Ripoti yenye jina la ‘The Mobile Economy: Sub-Saharan Africa 2017′, ilichapishwa katika tukio la GSMA Mobile 360 ​​- Afrika. Inatabiri kuwa idadi ya watu wanaotumia simu katika […]

iPhone mpya itakuwa na “infrared face unlock” – Ripoti

iPhone mpya itakuwa na “infrared face unlock” – Ripoti

Apple kwa bahati mbaya wametoa firmware kwajili ya HomePod, ambayo ina maelezo kuhusu simu mpya iPhone kutoka kwa kampuni hiyo, The Verge imeripoti. Firmware ilibainisha kwamba iPhone ijayo itakuwa na “infrared face unlock” katika BiometricKit, na msanidi programu (developer) Steve Troughton-Smith kupitia mtandao wa twitter ameweka screenshots kuhusu firmware hiyo. Pia aliweka picha kutoka kwenye firmware […]

Watumiaji Wa Simu Za Mkononi Afrika Kufikia Nusu Bilioni mwaka 2020

Kaa tayari kuipokea simu ya Nokia 8 tarehe 16 Agosti

Nokia na HMD Global wametoa vifaa vichache vya Android hadi sasa, lakini bado hatujaona simu yenye uwezo wa hali juu kutoka kwenye listi ya simu za kampuni hiyo. Sasa Subira hiyo inaonekana imefikia mwisho. HMD inatuma mialiko ya tukio litakalo fanyika mnamo Agosti 16 huko London. Mwaliko hausema moja kwa moja kuwa Nokia 8 itakuwa […]

Watumiaji Wa Simu Za Mkononi Afrika Kufikia Nusu Bilioni mwaka 2020

Google wanasema simu 11 zita-support Daydream VR mwishoni mwa 2017

Mwanzo tulisikia taarifa kuwa Google Daydream VR itasupport kikamilifu simu za Samsung Galaxy S8. Sasa mkurugenzi mtendaji wa Google, Sundar Pichai amesema siku za karibuni simu nyingi zaidi zitakuwa na uwezo wa kutumika na Daydream. Mkurugenzi huyo amesema kuwa simu 11 zitasupport Daydream kabla ya mwisho wa mwaka. Hiyo inamaanisha tutaona angalau nyongeza ya simu […]

Watumiaji Wa Simu Za Mkononi Afrika Kufikia Nusu Bilioni mwaka 2020

OnePlus inatuma “ad notifications” kwenye simu zake

Kila mtengenezaji wa simu amekutana na matatizo ya jinsi ya kusambaza matangazo kwa watumiaji wake. Hii imetokea karibuni kwa kampuni ya HTC ambayo imekutana na tatizo la matangazo kuonekana kwenye keyboard yake. Kawaida ni tatizo na limerekebishwa. OnePlus kwa upande mwingine wanafanya hivyo kwa makusudi. Watumiaji wengine wa OnePlus wanaripoti kwamba wanapata taarifa za kushinikiza […]

Watumiaji Wa Simu Za Mkononi Afrika Kufikia Nusu Bilioni mwaka 2020

“Error” kwenye simu ya HTC 10 imesababisha matangazo kuonekana kwenye keyboard app

HTC 10 bado inaendelea kufanya vizuri, lakini hivi karibuni limetokea tatizo kwenye keyboard ya simu hiyo. Tatizo linasababisha kuonekana kwa matangazo unapotumia keyboard ya simu hiyo. Mwishoni mwa wiki, mtumiaji wa Reddit, Azirack aligundua kuwa keyboard ya kwenye HTC 10 ilikuwa inaonyesha matangazo. TouchPal keyboard inaonekana ikionyesha matangazo kwenye sehemu ya juu ya keyboard, ikiwa […]

Watumiaji Wa Simu Za Mkononi Afrika Kufikia Nusu Bilioni mwaka 2020

Moto Z2 Force Edition: Simu mpya kutoka Motorola yenye teknolojia ya kuzuia kuvunjika kwa urahisi

Kama ilivyovyotarajiwa, Motorola wamepiga hatua nyingine leo hii kwa kutangaza rasmi mwanachama mpya wa smartphone kutoka kwenye kampuni hiyo: Moto Z2 Force Edition. Simu hiyo ya smartphone inaingia sokoni ikiwa na mabadiliko makubwa. Mbali ya kuwa na vipengele vyenye ubora, pia ina kioo cha Quad HD AMOLED ambacho kina inchi 5.5 na ina teknolojia ya […]

Watumiaji Wa Simu Za Mkononi Afrika Kufikia Nusu Bilioni mwaka 2020

Password inavyoweza kuokoa au kuangamiza maisha ya mtu

Zipo simulizi kadhaa za baadhi ya watu waliofanikiwa kuokoa uhai wao na wapendwa wao kwa kutoweka nywila ‘password’ kwenye simu zao za mkononi. Hata hivyo, baadhi hupendelea kuweka neno hilo la kufungulia simu kutokana na sababu mbalimbali, kubwa ikiwa usalama wa simu zao. Nywila inasaidia kufanya taarifa muhimu na za siri zilizomo kwenye simu zisiweze […]

Watumiaji Wa Simu Za Mkononi Afrika Kufikia Nusu Bilioni mwaka 2020

Opera Mini ina watumiaji milioni 100 Afrika

Opera, kampuni ya programu kutoka Norway inayojulikana zaidi kwa vivinjari (browsers) vya wavuti, imetoa Ripoti yake ya State of Mobile Web Report Africa 2016, ambayo inaonyesha mwenendo wa mtandao wa simu katika bara zima. Ripoti hiyo inaonyesha kwamba Opera sasa ina watumiaji milioni 100 Afrika, na hisa za soko 86.41% nchini Kenya, asilimia 71.83 nchini […]

AfriCar Group inatafsiri tovuti zake katika lugha 10 ili kuongeza watumiaji

Unaweza kutumia akaunti mbili za whatsapp kwenye simu moja kwa kufuata hatua hizi

Application ya whatsapp ni moja ya app inayotumiwa zaidi kwa sasa, kwa kuzingatia hilo wajanja wa teknolojia wameamua kubuni njia itakayo kuwezesha kutumia whatsapp mbili kwenye simu yako. Hivyo basi unaweza kufuata maelekezo haya ili kuweka whatsapp mbili katika simu. Hatua ya kwanza Download App inayoitwa parallel space kwenye play store Hatua ya pili Kama […]

Watumiaji Wa Simu Za Mkononi Afrika Kufikia Nusu Bilioni mwaka 2020

Samsung Wanataka kuifanya Galaxy Note kuwa “Gr3at Again”.

Ndio, Gr3at! Kwa mujibu wa Evan Blass, “Samsung codename” kwajili ya Galaxy Note 8 ni “Samsung Gr3at.” Na hii imefanya nifikirie, kwa nini “3” na sio “e”? Labda Samsung wanataka kuongeza vitu 3 ambavyo havijawahi kuwemo kwenye simu za Galaxy Note 8. Pia inawezekana kwamba 3 inahusu “3x Optical Zoom” ambayo imekuwa ikizungumziwa siku za […]

Watumiaji Wa Simu Za Mkononi Afrika Kufikia Nusu Bilioni mwaka 2020

Vitu Vitano (5) vizuri vya kitofauti vinavyopatikana kwenye simu za Samsung Galaxy S8 na S8 Plus

Samsung wametambulisha rasmi simu mpya ya Samsung Galaxy S8 na S8 Plus. Katika ubunifu na utengenezaji wa Samsung Galaxy S8 na S8 Plus Samsung wameenda mbali zaidi kuhakikisha simu hii ni ya kipekee dhidi ya simu zingine zote zilizopo sokoni kwa sasa. Kama wengi wenu mnavyojua,mfululizo wa simu za Galaxy siku zote zinakuwa daraja la […]

Watumiaji Wa Simu Za Mkononi Afrika Kufikia Nusu Bilioni mwaka 2020

Samsung Galaxy S8 bei, Sifa zake na Uchambuzi wa Uhakika Tanzania 2017

Apple ya Google ni Galaxy Series. Kila mwaka, Samsung wanatoa simu mpya kuendeleza mfululizo huo, simu ambazo mara nyingi zinafanya vizuri zaidi sokoni kuliko simu nyingine za Android. Wakati Samsung Galaxy S8 na S8 Plus zinatolewa, habari ya kuzinduliwa kwake ilisambaa sana kwenye mitandao ya kijamii. Kama ilivyotarajiwa, simu mpya ya Samsung ina vipengele ambavyo […]

Watumiaji Wa Simu Za Mkononi Afrika Kufikia Nusu Bilioni mwaka 2020

Nokia 3310 (2017) yaanza kuuzwa Afrika ya Kusini na Nigeria ila sio Tanzania

HMD Global wamethibitisha kuwa simu mpya ya Nokia 3310 itaanza kuuzwa katika nchi za Afrika ya kusin na Nigeria. Simu hii itazinduliwa Afrika ya Kusini katikati ya mwezi wa sita na itaanza kwa kuuzwa shilingi  R699 (Tsh.119265 / $53.48) na itakuwa inauzwa kupitia mtandao wa simu za mkononi MTN. Nikukumbushe, Nokia 3310 mpya inaendesha na programu […]

Watumiaji Wa Simu Za Mkononi Afrika Kufikia Nusu Bilioni mwaka 2020

Ifahamu Simu Mpya Kutoka Kwa Mbunifu wa Android- “Essential”

Andy Rubin, ambaye ni miongoni mwa watu waliobuni software ya Android ya Google, amezindua simu yake ya smartphone yenye ncha ndefu. Bwana Rubin aliacha kazi katika Google mwaka 2014 kwa ajili ya kubuni kampuni yake ya uwekezaji wa kiteknolojia. Essential ni moja wapo ya kampuni zinazodhaminiwa na kampuni ya Rubin – na simu ya Essential […]

Watumiaji Wa Simu Za Mkononi Afrika Kufikia Nusu Bilioni mwaka 2020

Opera Imethibitisha Kuwa Hakuna Maboresho Tena Ya Browsers Kwajili Ya iOS

Napenda sana Opera browsers. Kampuni hii ni taasisi ambayo imetengeneza na kutoa browsers kwajili ya vifaa mbalimbali, browsers zenye ubora na zinazoshindana vizuri kwenye soko. Hivi sasa, natumia toleo jipya la Opera browser na inaubora zaidi kuliko Chrome katika baadhi ya matukio, lakini kwa simu ni hadithi nyingine. Opera imekuwa ikihodhi soko la browser za […]

Watumiaji Wa Simu Za Mkononi Afrika Kufikia Nusu Bilioni mwaka 2020

Maisha Yako Na SmartPhone Katika Katuni

Nafikiri wengi tunahisi kwamba siku yetu haiwezi kukamilika bila ya kutumia simu zetu- sawa, Nakubaliana na hilo, kuna wakati kwenye maisha yangu nilishindwa kabisa kujizuia kutumia mitandao ya kijamii kila dakika- Ilikuwa kama ugonjwa – kwa hiyo mimi ni moja ya watuhumiwa katika hili. Katuni hapa chini zinajaribu kutuonyesha jinsi “smartphones” zinavyotulevya. Kama unaona kuna […]

Watumiaji Wa Simu Za Mkononi Afrika Kufikia Nusu Bilioni mwaka 2020

Simu Ya Gionee S10 Inamwonekano Wa iPhone Lakini Ina Kamera Nne

Kama unapenda teknolojia,na bado hujaiona iPhone 7 Plus, basi unastahili: Gionee wametangaza simu mpya na kama ilivyo huenda isifike kwenye soko la hapa nyumbani, ila kuna sababu za kuitazama kwa makini ; Simu hii ina kamera nne! Jambo la kwanza, jina lake linatamkwa hivi jo-nee, ndio, kama Johnny wa kwenye wimbo wa Yemi Alade. Pamoja […]

Watumiaji Wa Simu Za Mkononi Afrika Kufikia Nusu Bilioni mwaka 2020

Subiri! Kwa Hiyo Ni Kweli Watu Wanatumia Simu Za Zamani Za Nokia Kama Sex Toys?!

Kwa wale ambao bado hawajasikia jambo hili, inaonekana baadhi ya wanawake wamegundua njia mbadala ya kufurahia matumizi ya simu za Nokia. Wakala wa uchapishaji mtandaoni Agents of Ishq ilifanya utafiti kwa wanawake 100 kuhusu zana zao za kufanyia “masturbating” na kugundua kuwa idadi kubwa ya wanawake wanatumia Nokia 3310 kama “sex toy”. Utafiti huo ulifanyika […]

Watumiaji Wa Simu Za Mkononi Afrika Kufikia Nusu Bilioni mwaka 2020

Vita dhidi ya iPhone, Hili ni ​​toleo maalum la Nokia 3310 bei yake ni $ 1,690

Caviar, wanajulikana kwa kutengeneza “premium smartphones”, sasa wametoa toleo la dhahabu la Nokia 3310. Imepewa jina la Nokia 3310 Supremo Putin, kuipata simu hii itakugharimu $ 1690. Kwa kiasi hicho, unaweza kupata simu 30 za Nokia 3310 . Nyuma ya simu kuna picha ya dhahabu ya Rais Putin na nukuu kutoka kwenye wimbo wa Taifa […]

Watumiaji Wa Simu Za Mkononi Afrika Kufikia Nusu Bilioni mwaka 2020