Home Programu
[xgrid layout="1" condition="" order="DESC" featured="1" cats="516" speed="5000" count="5"]

Programu

Jinsi ya Kuzuia Kuibiwa Vifaa Vya Ndani Vya Kompyuta Yako

Kwanza kabisa unatakiwa ufahamu kuwa sio rahisi kuweza kufahamu kila kifaa cha kompyuta yako kilicho ndani, lakini hapa ninakuwezesha kufanya hivyo kwa njia nyepesi kabisa. Leo nimekuletea programu maalum kabisa kwa ajili ya kuorodhesha kila kilichomo ndani ya kompyuta yako, kwa majina pamoja na Model zake, hivyo basi unaweza kuvirekodi pembeni hata katika Diary yako […]

AcuteInvoice Inataka Kukusaidia Kuandaa Ankara Zako Za Malipo

AcuteInvoice Inataka Kukusaidia Kuandaa Ankara Zako Za Malipo

Ikiwa una mauzo ya juu sana, kuna kila uwezekano wa kuwa hauwezi kufuatilia malipo na bila shaka kama biashara yako haijabadilika, unaweza kuwa unatumia njia za kawaida za malipo kwa wateja wako. Ikiwa ndivyo ilivyo kwa upande wako, usishangae ikiwa wateja wako hawafanyi malipo haraka iwezekanavyo. Ukweli ni kuwa unahitaji programu ya malipo ambayo itakusaidia […]

Jinsi ya Kuzuia Kuibiwa Vifaa Vya Ndani Vya Kompyuta Yako

Windows smartphone-sync sasa inapatikana kwenye iPhone

Kipengele kipya cha Microsoft smartphone-sync, ambacho karibuni kilizinduliwa kwajili ya vifaa vya Android, sasa  kinapatikana kwa watumiaji wa iPhones. Microsoft walizundua kipengele hiki kwenye Windows 10 Insider Preview ya hivi karibuni “Jambo hili limezingatia uvinjari wa wavuti katika vifaa vilivyounganishwa,” walisema Microsoft. Baada ya ku-install Windows 10 build, nenda kwenye Settings > Phone, na uunganishe […]

Jinsi ya Kuzuia Kuibiwa Vifaa Vya Ndani Vya Kompyuta Yako

LibreOffice 5.4 Mpya Imetoka – Angalia Maboresho Mapya

Document Foundation watengenezaji wa programu za bure kama LibreOffice na Document Liberation wametoa toleo jipya la LibreOffice 5.4 kwajili ya 64-bit na 32-bit. BetaNews imeripoti kwamba programu ya ofisi imekuja miezi sita baada ya kutolewa kwa LibreOffice 5.3. Ripoti hiyo imesema kuwa LibreOffice 5.4 ni ya mwisho kutolewa kwenye familia ya 5.x. Ina maboresho kwenye […]

Jinsi ya Kuzuia Kuibiwa Vifaa Vya Ndani Vya Kompyuta Yako

Windows inakuwezesha kuunganisha simu yako na PC

Microsoft imetangaza Windows 10 Insider Preview mpya, ambayo inakuwezesha kuunganisha smartphone yako ya Android – na hivi karibuni iPhone yako – kwenye PC yako. “This build’s scenario is focused on cross-device web-browsing,” wamesema Microsoft. Baada ya ku-install Windows 10 build, nenda kwenye Settings > Phone, na uunganishe simu yako. Kiunganisho kinahakikisha vitu vyako kutoka kwenye […]

Jinsi ya Kuzuia Kuibiwa Vifaa Vya Ndani Vya Kompyuta Yako

Badilisha Rangi za “Folders” Kwenye Kompyuta Kuwa na Rangi Unayotaka

Hivi sasa kuna programu nyingi zinazazopatikana kwenye intaneti ambazo zinaweza kubadilisha mwonekano wa kompyuta yako kuwa unaovutia na pia kufanya iwe rahisi kuitumia. Tunapenda Kompyuta zetu ziwe safi na zenye mafaili yaliyo pangiliwa vizuri  ili iwe rahisi kutumia vitu mbalimbali ndani ya Komyuta yako ama kutafuta “faili / folda kwenye Kompyuta kwa urahisi zaidi. Sawa, […]

Jinsi ya Kuzuia Kuibiwa Vifaa Vya Ndani Vya Kompyuta Yako