Twitter

Sasa unaweza kutumia herufi 280 kuandika ujumbe kwenye Twitter badala ya 140

Twitter imetangaza kwamba imeanza kuwafungulia watu wanaoutumia mtandao huo wa kijamii uwezo wa kuandika ujumbe kwa kutumia tarakimu 280 badala…

Soma Zaidi »

Mfanyakazi wa Twitter afuta akaunti ya rais Trump ”@realdonaldtrump’

Akaunti ya mtandao wa Twitter ya rais Donald Trump ilipotea kwa muda siku ya Alhamisi lakini, ikarudishwa baadaye , kampuni…

Soma Zaidi »

Urusi imesababisha mitandao ya kijamii kujitetea kwa Marekani

Wawakilishi wa mitandao mikubwa duniani ya Google, Facebook na Twitter wanatoa ushahidi mbele ya bunge la Seneta wa Marekani ili…

Soma Zaidi »

Twitter sasa ina watumiaji milioni 330 kila mwezi

Moja ya mtandao mkubwa zaidi wa kijamii, Twitter sasa una watumiaji kazi (active users) milioni 330, na kuongeza watumiaji milioni…

Soma Zaidi »

Google, Facebook na Twitter kupambana na uhuru wa kuzungumza

Facebook, Google, Microsoft, Twitter na makampuni mengine ya teknolojia wanajiunga na Anti-Defamation League (ADL). Makampuni hayo na ADL wataanzisha Maabara…

Soma Zaidi »

Twitter Kuongeza Idadi ya Maneno – Na Watumiaji wa Twitter Hawana Furaha.

Baada ya kutumia miaka 10 iliyopita kufanya mafunzo ya akili zetu kufikiri katika herufi 140, Twitter imeamua kujaribu kuongeza idadi…

Soma Zaidi »

Twitter inajaribu Lite Android app

Twitter inajaribu programu ya Android ambapo ipo sawa na tovuti yake ya Lite, kampuni hiyo iliiambia TechCrunch. App hiyo inajaribiwa…

Soma Zaidi »

Apokonywa taji la malkia wa Urembo sababu ya Twitter

Mshindi wa tuzo la malkia wa urembo wa Uturuki 2017 amepokonywa taji hilo baada ya mojawapo ya machapisho yake ya…

Soma Zaidi »

Vitu 18 Usivyovijua Kuhusu Mtandao wa Twitter

Twitter unaweza kusema kuwa ni jukwaa bora la mtandao wa kijamii kwenye intaneti baada ya Facebook na hapa chini nimekusogezea…

Soma Zaidi »

Mwanamuziki “Katy Perry” afikisha wafuasi milioni 100 kwenye Twitter

Msanii wa Marekani Katy Perry amekuwa mtu wa kwanza duniani kupata wafuasi milioni 100 katika mtandao wa Twitter. Mtandao huo…

Soma Zaidi »

Neno “covfefe” lasababisha Trump akejeliwe kwenye mtandao wa twitter

Neno la Rais wa Marekani, Trump limegubika mtandao wa internet leo Jumatano nalo ni: “covfefe”. Ni neno lililochapishwa kwenye wa…

Soma Zaidi »

Mwaka 2016, Twitter imesimamisha akaunti 377,000 kwa kuwa na maudhui ya ugaidi

Twitter imethibitisha kuwa imefungia zaidi ya accounts 377,000 ndani ya miezi sita ya mwisho wa mwaka 2016 kwa sababu ya…

Soma Zaidi »