Facebook

Urusi imesababisha mitandao ya kijamii kujitetea kwa Marekani

Wawakilishi wa mitandao mikubwa duniani ya Google, Facebook na Twitter wanatoa ushahidi mbele ya bunge la Seneta wa Marekani ili…

Soma Zaidi »

Facebook kuonyesha magari yanayouzwa na wafanyabiashara wa magari (FB)

Facebook inaongeza orodha ya magari (car listings) kutoka kwa wafanyabiashara wa magari kwenye tab yake ya Marketplace. Hii ni hatua…

Soma Zaidi »

Facebook yanunua app maarufu kwa vijana “tbh”

Kampuni ya Facebook imenunua programu tumishi inayowalenga vijana wa chini ya miaka 19 na kuwahimiza wawe na wema wanapohusiana. App…

Soma Zaidi »

Google, Facebook na Twitter kupambana na uhuru wa kuzungumza

Facebook, Google, Microsoft, Twitter na makampuni mengine ya teknolojia wanajiunga na Anti-Defamation League (ADL). Makampuni hayo na ADL wataanzisha Maabara…

Soma Zaidi »

Je Upo Tayari Kuangalia Ligi Kuu ya Uingereza “EPL” Kwenye Facebook ?

Mkuu wa kitengo cha michezo katika kampuni ya Facebook Deen Reed amesema kuna uwezekano kampuni hiyo ikawasilisha ombi la kutaka…

Soma Zaidi »

Facebook kuonyesha michezo ya NFL duniani nzima

Facebook na “National Football League” wametangaza mipango ya kuonyesha video highlights za michezo ya NFL kwa watumiaji wa mtandao wa…

Soma Zaidi »

Facebook kushindana na Youtube na huduma yake mpya ya video, Watch

Facebook imeanzisha Watch, kichupo (tab) kipya kwenye mtandao huo wa kijamii ambacho huonyesha maonyesho (shows) mbalimbali kwa watumiaji kwa urahisi.…

Soma Zaidi »

Jinsi ya kuripoti akaunti ya mtu aliyekufa kwenye Facebook

Mtu unayemjua akifa, unaweza kufanya ombi la mtandaoni ili akaunti yake ya Facebook iondolewe au kukumbukwa. Akaunti zilizohifadhiwa kwenye Facebook…

Soma Zaidi »

Urusi walitumia Facebook kujaribu kupeleleza kampeni ya Rais wa Ufaransa

Wakati wa Kampeni za uchaguzi, kamati ya kampeni ya Bwana Emmanuel Macron, ilivamiwa na makundi ya udukuzi ambayo yalichapisha habari…

Soma Zaidi »

Facebook kuzindua huduma ya usajili wa habari kufuatia malalamiko kutoka kwa vyombo vya habari

Facebook imetangaza mipango ya kuanzisha huduma ya “news subscription” kwenye mtandao huo wa kijamii unaoongoza kuwa na watumiaji wengi duniani.…

Soma Zaidi »

Sasa ni muda wa kutazama mechi za klabu bingwa Ulaya (UEFA) kupitia Facebook

Watazamaji wataanza kuona mechi zote za Klabu bingwa barani Ulaya mubashara kupitia mtandao huo wenye watumiaji zaidi ya bilioni 2…

Soma Zaidi »

Facebook Sasa Ina Watumiaji Wa Kila Mwezi Bilioni 2

Facebook imetangaza kuwa sasa ina watumiaji zaidi ya bilioni 2 kila mwezi. Idadi hiyo imeongezeka kutoka jumla ya bilioni 1.94…

Soma Zaidi »

NDIO!! KILA MTU Sasa Anaweza Comment Kwenye Facebook Kwa Kutumia GIF

Ni muda wa kucheza muziki kidogo: Baada ya miezi kadhaa ya majaribio ya kipengele hiki, Facebook kwa hekima yao sasa…

Soma Zaidi »

Jinsi ya kuchunga ufaragha kwenye Facebook

Ni ukweli usiofichika kuwa, katika dunia ya leo, zaidi ya nusu ya vijana wa Kitanzania wanaotumia Internet, basi hutumia Facebook.…

Soma Zaidi »

Afungwa Jela Kwa Sababu Ya Kugonga ‘like’ Facebook

Mahakama moja nchini Uswizi imempiga faini mwanamume mmoja aliyebofya alama ya kupenda au “like” kwa Kiingereza katika maoni yaliyotolewa kwenye…

Soma Zaidi »

Mwanzilishi wa Facebook Mark Zuckerberg akabidhiwa shahada ya heshima

Mwanzilishi wa Facebook na CEO Mark Zuckerberg amepata shahada ya heshima kutoka katika chuo kikuu cha Havard, Marekani. Mark ambaye…

Soma Zaidi »

Jinsi ya Kuongeza Rangi ya Mandhari kwenye Facebook Updates

Facebook update za maandishi tu hazitapotea tena kutokana na ongezeko la “flashy Facebook feed”, asante kwa mabadiliko ambayo facebook wameyafanya…

Soma Zaidi »

Jinsi Ninavyoshusha (Download) Video Kutoka Facebook Kwenda Kwenye PC Bila Ya kutumia Programu

Nashusha video kutoka kwenye Facebook na kuzihifadhi kwenye Kompyuta yangu bila ya kutumia programu yoyote ile. Ki ukweli, video zinakuwa na…

Soma Zaidi »

Facebook kudhibiti taarifa za uongo mtandaoni

Mtandao wa kijamii Facebook umetangaza hatua mpya itakazochukuwa kudhibiti taarifa za uongo zinazochapishwa katika mtandao huo. Mmiliki wa Facebook, Mark…

Soma Zaidi »