Blogu

Jinsi ya kupata pesa au faida kwa kumiliki website au blogu

Kila mtu anataka kutengeneza pesa ili imsaidie kuendesha maisha yake ya kila siku. Mpaka unasoma makala hii utakuwa umewahi kusikia…

Soma Zaidi »

Taratibu za kufuata ili kumiliki website

Kama wewe ni mfanyabiashara wa kati au juu, basi kuwa na Website ni moja ya vitu vya lazima kwa dunia…

Soma Zaidi »

Tumia .tz domain upate faida kuu 5 kwenye biashara yako

Tayari umeshamaliza kusajili kampuni Brela na sasa unajiandaa kukamilisha taratibu za kupata TIN kutoka TRA na hatimaye leseni ya biashara ili…

Soma Zaidi »

Tumia njia hizi 7 kuongeza wasomaji wa Blog yako

Katika ulimwengu wa leo neno blog siyo kitu kigeni, leo hii karibu kila mtumiaji wa internet anayo blog yake. Blogu…

Soma Zaidi »

Je unaelewa utofauti kati ya Website, Domain Name na Hosting ?

Ni rahisi kuchanganyikiwa na misamiati ya ulimwengu wa Website, Kama ndio unaanza basi leo tunaelezea vitu vitatu muhimu kuhusu website…

Soma Zaidi »

Vitu 10 vya Kuzingatia unapochagua majina ya website

Je umeshawahi kufikiria ni jinsi gani watu wanavyohangaika kufika mtaani kwenu kama huo mtaa jina lake halieleweki au kukumbukika kirahisi?…

Soma Zaidi »

Je Blog ni Nini na Jinsi ya Kutengeneza Blog?

Kuna watu wengi ambao bado hawajui blog ni nini au kwa nini “blogging” inazidi kupanuka katika ulimwengu wa wavuti. Nafikiri…

Soma Zaidi »

WordPress vs. Blogger – Ipi ni Bora? (Faida na Hasara)

Tunaulizwa mara kwa mara na watumiaji wapya kwa nini wanapaswa kutumia WordPress badala ya huduma za blogu za bure kama…

Soma Zaidi »

Vitu 3 muhimu kwa watumiaji wapya wa blog Kufikia Mafanikio Katika Muda mfupi

Kwa wengi, “mafanikio” ya blog inaweza kuwa kufikia watu wengi au kupata trafiki zaidi au kuwa maarufu … au inaweza…

Soma Zaidi »

Njia za kupunguza Blog kuchelewa kufunguka

Muda unaotumika wakati wa kufunguka kwa blog yako “Blog loading time” ni kitu cha muhimu ambacho kila blogger anapaswa kukizingatia…

Soma Zaidi »