Maujanja

MUHIMU KUSOMA! Mambo 5 usiyopaswa kufanya kwenye simu yako ya Android

Tunatumia simu za mkononi kwa vitu vingi katika maisha yetu ya kitaaluma na ya kibinafsi. Kwa hiyo, tunapaswa kujaribu kuhakikisha…

Soma Zaidi »

Elewa mambo 5 muhimu kuhusu betri ya simu na Kuchaji Simu

Tangu ulipoanza kutumia simu kuna mengi sana unaweza ukawa ushasikia kuhusu betri ya simu na njia nzuri za kuchaji simu…

Soma Zaidi »

Je kuna madhara ya kuacha simu/laptop kwenye charge kwa muda mrefu

Mara kwa mara nimekuwa nikikutana na swali hili kutoka kwa wadau wakitaka kujua kama kuna madhara ya kuacha simu au…

Soma Zaidi »

Vitu 10 Muhimu Kwa Ulinzi na Usalama wa Kompyuta Yako

Kadri ya siku zinavyosonga mbele teknolojia inakuwa zaidi , kuja kwa programu nyingi mpya za kutumia katika kompyuta na hata vitu…

Soma Zaidi »

Njia 7 rahisi kuboresha usalama wa kompyuta yako

Ni dhahiri kwamba usalama ni muhimu sana tunapotumia kompyuta zetu au smartphone. Kwenye mtandao, utapata mafunzo mengi kuhusu hili, maandiko…

Soma Zaidi »

Taratibu za kufuata ili kumiliki website

Kama wewe ni mfanyabiashara wa kati au juu, basi kuwa na Website ni moja ya vitu vya lazima kwa dunia…

Soma Zaidi »

Tumia .tz domain upate faida kuu 5 kwenye biashara yako

Tayari umeshamaliza kusajili kampuni Brela na sasa unajiandaa kukamilisha taratibu za kupata TIN kutoka TRA na hatimaye leseni ya biashara ili…

Soma Zaidi »

Tumia njia hizi 7 kuongeza wasomaji wa Blog yako

Katika ulimwengu wa leo neno blog siyo kitu kigeni, leo hii karibu kila mtumiaji wa internet anayo blog yake. Blogu…

Soma Zaidi »

Je unaelewa utofauti kati ya Website, Domain Name na Hosting ?

Ni rahisi kuchanganyikiwa na misamiati ya ulimwengu wa Website, Kama ndio unaanza basi leo tunaelezea vitu vitatu muhimu kuhusu website…

Soma Zaidi »

Vitu 10 vya Kuzingatia unapochagua majina ya website

Je umeshawahi kufikiria ni jinsi gani watu wanavyohangaika kufika mtaani kwenu kama huo mtaa jina lake halieleweki au kukumbukika kirahisi?…

Soma Zaidi »

Je Blog ni Nini na Jinsi ya Kutengeneza Blog?

Kuna watu wengi ambao bado hawajui blog ni nini au kwa nini “blogging” inazidi kupanuka katika ulimwengu wa wavuti. Nafikiri…

Soma Zaidi »

WordPress vs. Blogger – Ipi ni Bora? (Faida na Hasara)

Tunaulizwa mara kwa mara na watumiaji wapya kwa nini wanapaswa kutumia WordPress badala ya huduma za blogu za bure kama…

Soma Zaidi »

Vitu 3 muhimu kwa watumiaji wapya wa blog Kufikia Mafanikio Katika Muda mfupi

Kwa wengi, “mafanikio” ya blog inaweza kuwa kufikia watu wengi au kupata trafiki zaidi au kuwa maarufu … au inaweza…

Soma Zaidi »

Post Office Protocol (POP)

POP Email Ina Maana Gani? POP (Post Office Protocol) ni kiwango cha mtandao kinachofafanua seva ya barua pepe/email server (POP…

Soma Zaidi »

Top 5 ya Website Unazoweza Kudownload Movie Mpya Bure

Ikiwa unapenda kuangalia sinema na unataka kupakua filamu (movie) mpya unazozipenda, utakuwa na furaha baada ya kusoma makala hii kwa…

Soma Zaidi »

Top 10 Website Za Kudownload Movie na Series Mpya Kupitia Simu Yako

Je! Unapenda kuangalia sinema (movie) muda wowote ule? Basi utakuwa unapenda kupakua sinema za bure kwenye simu yako. Kwa hiyo,…

Soma Zaidi »

Jinsi ya Kudownload Youtube Videos kwa kutumia simu yako

Uwezo wa kuangalia video za youtube moja kwa moja kwenye simu zetu za smartphones ni moja ya vitu ambavyo watu…

Soma Zaidi »

Jifunze Njia Mbalimbali Za Kushusha Video Kutoka Youtube bure

Wengi wetu tunapenda kuangalia video za youtube kwenye simu na kompyuta, na tunatamani kuwa na baadhi ya video tunazozipenda ili…

Soma Zaidi »

Jinsi ya kutumia simu au internet ya simu kama modem kwenye kompyuta

Una Kompyuta, Una Smartphone yenye Android OS na huwa unapata tabu kutumia simu yako wakati ukiwa busy na Kompyuta? leo…

Soma Zaidi »

Android “Secret” Codes Unazopaswa Kuzifahamu

Wakati mwingine napenda kutumia njia za kitofauti katika matumizi yangu ya vifaa na programu za Android. Kama ilivyo desturi yangu…

Soma Zaidi »

Jinsi ya Kurudisha Data Zako Zilizofutwa Katika Simu ya Android

Kwa bahati mbaya unaweza kufuta taarifa zako muhimu kama vile picha au hata video na ukashindwa kuelewa ufanye nini kurudisha…

Soma Zaidi »

Jinsi ya kuripoti akaunti ya mtu aliyekufa kwenye Google

Akaunti ya Google bila shaka ni moja ya akaunti muhimu zaidi ambayo watu wanaitumia kwenye mtandao siku hizi. Siyo hivyo…

Soma Zaidi »

Jinsi ya kuripoti akaunti ya mtu aliyekufa kwenye Facebook

Mtu unayemjua akifa, unaweza kufanya ombi la mtandaoni ili akaunti yake ya Facebook iondolewe au kukumbukwa. Akaunti zilizohifadhiwa kwenye Facebook…

Soma Zaidi »

Njia za kumia SmartPhone kulinda gari lako

TEKNOLOJIA inazidi kuchukua nafasi kwenye maisha yetu, hii inatokana na kasi kubwa ya uvumbuzi unaoendelea kufanywa na wataalamu kila iitwapo…

Soma Zaidi »