Home Kompyuta
[xgrid layout="1" condition="" order="DESC" featured="1" cats="483" speed="5000" count="5"]

Kompyuta

Microsoft inajaribu mfumo wa “AI search” kwajili ya picha

Microsoft inajaribu mfumo wa utafutaji picha wa AI katika Photos app yake, kwa mujibu wa ripoti ya Engadget. Ripoti hiyo imesema kuwa toleo la karibuni la Insider Preview kwajili ya app hiyo lina  “search bar” ambayo inawawezesha watumiaji kuandika jina la kitu anachotaka ili kupata picha sahihi. Google Photos na Apple Photos zina utendaji sawa, […]

Kompyuta Ni Nini? Fahamu Aina Za Kompyuta Na Kazi Zake

Kompyuta Ni Nini? Fahamu Aina Za Kompyuta Na Kazi Zake

Tarakilishi au Kompyuta ni mashine au chombo cha kielektroniki chenye uwezo wa kupokea na kukusanya taarifa (data), na kuzifanyia kazi kulingana na kanuni za programu inayopewa kwa kufuata hatua za kimantiki katika ufanyaji wa kazi. Hutoa matokeo ya kazi hiyo na namna ilivyoendeshwa, pamoja na kutoa matokeo ya kitu kilichofanyika, yaani kinachoonekana (Information) kwa haraka. […]

Microsoft inajaribu mfumo wa “AI search” kwajili ya picha

”Chanjo” ya shambulio la uhalifu wa mitandaoni yapatikana

Watafiti wa usalama wamegundua chanjo ya shambulio la uhalifu wa mitandaoni lililoathiri mashirika tofauti duniani siku ya Jumanne. Utengezaji wa faili moja unaweza kuzuia shambulio la mashine yote. Hatahivyo watafiti hawajafanikiwa kupata suluhu ya mara moja itakayoweza kuzuia kirusi hicho kuenea katika kompyuta nyengine ambazo hazina kinga. Wataalam bado hawajui shambulio hilo linatoka wapi na […]

Tweet ya Obama Kuhusu Ghasia za Charlottesville Imependwa Zaidi Katika Historia ya Twitter

Unaweza Kulipia Tsh300000 Kununua Keyboard hii?

Kama ningekuwa napata fedha nyingi zaidi ya ninazopata sasa , pengine, ningefikiria kununua keyboard hii. Ila kwa hari ya sasa: Hata hivyo, Microsoft wameishinda Apple kutengeneza “wireless keyboard” yenye  “fingerprint scanner”. Fingerprint Scanner hii inakuwezesha kuingia (login) kwenye Kompyuta zinazotumia Windows 10 sambamba na tovuti kwa urahisi zaidi. Keyboard hii pia inafanya kazi katika “wired […]

Microsoft inajaribu mfumo wa “AI search” kwajili ya picha

UltraSharp monitor mpya ktoka Dell ni “38-inch curved WQHD monitor”

Ingawa siku za karibuni “ultrawide monitors” za aina mbalimbali zimeingia soko, lakini Dell imekuwa mfalme kwa kushika nafasi ya kwanza (ikifuatiwa kwa karibu na LG) . Sasa kampuni ya Dell imerudi tena kwa kuzindua monitor ya ajabu, “38-inch curved ultrawide monitor”, na mimi naitamani vibaya sana. Monitors za Dell UltraSharp zinapewa sifa kubwa na wataalamu […]

Microsoft inajaribu mfumo wa “AI search” kwajili ya picha

Zingatia vitu hivi unapotaka kununua kompyuta yako

Kununua kompyuta iwe laptop au desktop huwachanganya watu wengi hasa wasiokuwa na uzoefu wa vifaa hivi maana ukifika dukani utakuta za kila namna na miundo tofauti, Nimeona niandike makala hii kuwasaidia wale wanunuaji wapya wapate muongozo ili angalau wanapokwenda dukani wajue wanataka nini. MAMBO YA KUZINGATIA Matumizi: Unapotaka kununua kompyuta, jambo la kwanza ni kujua unataka kwa […]

Microsoft inajaribu mfumo wa “AI search” kwajili ya picha

Badilisha Rangi za “Folders” Kwenye Kompyuta Kuwa na Rangi Unayotaka

Hivi sasa kuna programu nyingi zinazazopatikana kwenye intaneti ambazo zinaweza kubadilisha mwonekano wa kompyuta yako kuwa unaovutia na pia kufanya iwe rahisi kuitumia. Tunapenda Kompyuta zetu ziwe safi na zenye mafaili yaliyo pangiliwa vizuri  ili iwe rahisi kutumia vitu mbalimbali ndani ya Komyuta yako ama kutafuta “faili / folda kwenye Kompyuta kwa urahisi zaidi. Sawa, […]

Jinsi ya Kuzuia Kuibiwa Vifaa Vya Ndani Vya Kompyuta Yako

Namna ya kuinstall Apache, PHP na Mysql katika Linux Ubuntu

Habari ndugu msomaji wa makala zetu, leo tujifunze baadhi ya command zitakazo kusaidia wewe WEB developer, namna ya kuinstall Apache, PHP na Mysql katika linux ubuntu. Fuatilia hatua hizi fupi.. 1. Unatakiwa ku-update system yako kwa kuandika code ifuatayo sudo apt-get update

2. Anza kuweka seva ya […]

Microsoft inajaribu mfumo wa “AI search” kwajili ya picha

Notebook 9 Pro Laptop Ya Kwanza Kutoka Samsung Inayokuja na S-Pen.

Jana, Samsung walizindua “Notebook 9 Pro” komputa ndogo ikiwa na Windows 10. Ni ajabu, licha ya kuwa na lebo “Pro”, “laptop” hii inatumia “Windows 10 Home” tu. Mimi nilitarajia itakuwa na Windows 10 Pro. Moja ya vipengele muhimu ni kuingizwa kwa “S-Pen” na kama unavyoona kwenye picha hapa chini, S Pen ina hifadhiwa ndani ya […]

Microsoft inajaribu mfumo wa “AI search” kwajili ya picha