Home Intaneti
[xgrid layout="1" condition="" order="DESC" featured="1" cats="474" speed="5000" count="5"]

Intaneti

AfriCar Group inatafsiri tovuti zake katika lugha 10 ili kuongeza watumiaji

Africar Group, jukwaa la magari barani Afrika linalofanya kazi katika nchi 22 ndani ya bara hili sasa linapatikana katika lugha 10 za nchi mbalimbali ili kuhamasisha upatikanaji na matumizi kwa watu wa ndani na kupambana na kampuni ya  Cheki inayokua kwa kasi barani Afrika. Kwa ufanyaji kazi katika nchi 22 kwa njia ya tovuti za […]

Kupata Intaneti Tanzania Ni Bei Nafuu, Je Unajua Kuhusu Nchi Nyingine Za Afrika?

Kupata Intaneti Tanzania Ni Bei Nafuu, Je Unajua Kuhusu Nchi Nyingine Za Afrika?

Kwa mujibu wa ripoti kutoka Research ICT Africa iliyoandaliwa kwajili ya Mozilla (Via MyBroadBand), gharama za kununua data ni kizuizi kikuu kwa matumizi ya intaneti nchini Afrika Kusini. Utafiti huo uliwauliza maswali watu mbalimbali kwa vikundi kwa kuzingatia kutoka maeneo ya jiji, miji ya kawaida, vijijini, na vijiji vya ndani kabisa nchini Afrika Kusini pamoja […]

AfriCar Group inatafsiri tovuti zake katika lugha 10 ili kuongeza watumiaji

Google search history: Jinsi ya kufuta kwa urahisi historia yako ya utafutaji kwenye Google

Kila siku mabilioni ya watumiaji kote ulimwenguni hufanya utafutaji wa mamilioni ya vitu kwenye Google, iwe kwenye smartphone au desktop. Wewe na mimi tu tunatafuta zaidi ya mamia ya maneno, tovuti. Picha, na video kwenye Google ili kuendana na ulimwengu wote. Lakini ni jinsi gani mtu anaweza kufuta safu nzima ya utafutaji wa Google? Hivi […]

AfriCar Group inatafsiri tovuti zake katika lugha 10 ili kuongeza watumiaji

Firefox Send: Mozilla Waja na Njia Mpya ya Kutuma na Kupokea Mafaili

Kampuni ya Mozilla ambao ni wamiliki wa kivinjari cha Firefox, wamekuja na njia mpya ya kutuma na kupokea ma-faili ya aina mbalimbali kwa urahisi kabisa. Sehemu hiyo ambayo ipo kwenye majaribio inakupa uwezo wa kutuma ma-faili yenye ukubwa wa hadi GB 1, utofauti wa sehemu hiyo ni kuwa utapewa nafasi ya kutuma ma-faili ambayo baadae […]

AfriCar Group inatafsiri tovuti zake katika lugha 10 ili kuongeza watumiaji

Kwaheri Google Instant Search

Unakumbuka unapojaribu kuandika kitu katika sehemu ya utafutaji ya Google na tayari inakuonyesha matokeo ya utafutaji ya nini inadhani unataka kuandika kabla ya kubonyeza enter? Katika ubora wake, ingeweza kuonyesha matokeo yanayotakiwa na katika siku mbaya, ingeweza kuonyesha idadi kubwa ya matokeo ya utafutaji yasiyohusiana na wewe unapo andika neno kwenye sehemu ya kutafuta. Sasa, […]

AfriCar Group inatafsiri tovuti zake katika lugha 10 ili kuongeza watumiaji

Top 10 ya movies kali wiki hii zilizopakuliwa (download) kupitia Torrent

TorrentFreak imetoa orodha yake ya sinema “movies” zilizopakuliwa zaidi kupitia BitTorrent wiki iliyopita. TorrentFreak inatumia makadirio yake ya mara ngapi movie ilipakuliwa kwajili ya chati yake ya wiki. Wiki hii, kuna wageni wawili kwenye chati. “Data kwajili ya chati yetu ya kupakua (download) ya kila wiki ni kwajili ya kumbukumbu na elimu tu,” walisema TorrentFreak.

AfriCar Group inatafsiri tovuti zake katika lugha 10 ili kuongeza watumiaji

Urusi kupiga marufuku VPNs

Rais wa Urusi Vladimir Putin amepitisha sheria mpya ambayo itapiga marufuku mitandao ya kibinafsi na teknolojia nyingine ambazo hutoa upatikanaji usiojulikana wa wavuti, TechCrunch imeripoti. Kitengo cha habari cha serikali ya Urusi-RIA kimeripoti kuwa mwenyekiti wa kamati ya sera na teknolojia ya habari, Leonid Levin, amesema sheria haikusudia kuanzisha vizuizi vipya kwa wananchi kuhusu utumiaji […]

AfriCar Group inatafsiri tovuti zake katika lugha 10 ili kuongeza watumiaji

Google inajaribu Video kujicheza zenyewe kwenye utafutaji “Search”

Google inafanya jaribo la video kujicheza zenyewe kwenye matokeo yake ya utafutaji (search results), kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa hivi karibuni. Kurasa kadhaa za matokeo zimeanza kuonyesha video, ikiwa ni pamoja na matokeo ya utafutaji ya sinema (movies) zinazotoka karibuni. Trailers za sinema mpya zilionekana karibu na matokeo ya Utafutaji wa Google upande wa kulia […]

AfriCar Group inatafsiri tovuti zake katika lugha 10 ili kuongeza watumiaji

Google kuunganisha Play Music na YouTube Red kuwa huduma moja

Mkuu wa idara ya muziki wa YouTube, Lyor Cohen, amesema kuwa Google inaweza kuunganisha huduma yake ya “Play Music” na YouTube Red, kwa mujibu wa The Verge. Cohen alitoa taarifa hiyo wakati wa mjadala maalumu, ambapo alisema Google inahitaji kuunganisha huduma hizo mbili ili kusaidia kuelimisha watumiaji na kuleta washiriki wapya. Cohen aliongeza kuwa alitaka […]

AfriCar Group inatafsiri tovuti zake katika lugha 10 ili kuongeza watumiaji

Urusi walitumia Facebook kujaribu kupeleleza kampeni ya Rais wa Ufaransa

Wakati wa Kampeni za uchaguzi, kamati ya kampeni ya Bwana Emmanuel Macron, ilivamiwa na makundi ya udukuzi ambayo yalichapisha habari muhimu za kundi lao katika mitandao ya kijamii, barua pepe sahihi ziliibiwa katika tarakilishi/kompyuta zao na kuchanganywa na zile bandia ili kuonyesha kuwa kamati hiyo ya Bwana Macron ni ya ubabaishaji tu. Shirika la Upelelezi […]

AfriCar Group inatafsiri tovuti zake katika lugha 10 ili kuongeza watumiaji

Mwaka 2020 Utakuwa Mwisho Wa Flash Kwenye Chrome, Firefox

Hatujui kama kuna watu wengi ambao wataikumbuka Adobe Flash. Kwa sababu HTML ina kasi, salama zaidi, na rahisi kuiboresha. Flash haina umaarufu mkubwa siku hizi. Mwaka wa 2014, zaidi ya 80% ya watumiaji wa Chrome walitembelea tovuti na Flash, lakini hilo ni anguko la asilimia 17% na inaendelea kushuka. Habari za hivi karibuni ni kwamba […]

AfriCar Group inatafsiri tovuti zake katika lugha 10 ili kuongeza watumiaji

Facebook kuzindua huduma ya usajili wa habari kufuatia malalamiko kutoka kwa vyombo vya habari

Facebook imetangaza mipango ya kuanzisha huduma ya “news subscription” kwenye mtandao huo wa kijamii unaoongoza kuwa na watumiaji wengi duniani. Kipengele hicho kitatengenezwa juu ya huduma ya “Facebook Instant Articles”, ambayo inaruhusu waandishi wa habari kusajili stori zao ili zisomwe kwa haraka bila ya kutoka kwenye Facebook. Kwa mujibu wa mkuu wa ushirikiano wa habari […]

AfriCar Group inatafsiri tovuti zake katika lugha 10 ili kuongeza watumiaji

Sasa ni muda wa kutazama mechi za klabu bingwa Ulaya (UEFA) kupitia Facebook

Watazamaji wataanza kuona mechi zote za Klabu bingwa barani Ulaya mubashara kupitia mtandao huo wenye watumiaji zaidi ya bilioni 2 duniani. Kampuni ya Facebook imefikia makubaliano na Kampuni ya 21st Century Fox Inc kutumia Channel ya Fox Sports kuonesha mechi za Klabu bingwa barani Ulaya kupitia mtandao wake wa Facebook kuanzia msimu mpya ujao unaotarajiwa […]

AfriCar Group inatafsiri tovuti zake katika lugha 10 ili kuongeza watumiaji

YouTube GIF Thumbnails: Je! Umependa Maboresho Mapya Kwenye Youtube?

Linapokuja swala la video, YouTube ni bet yako bora, asante kwa idadi ya video zinazopakiwa kila siku. Wiki iliyopita, kampuni hiyo iliongeza kipengele kipya, kipengele kinanikumbusha jukwaa jingine la video – jukwaa ambalo siwezi kulitaja jina. YouTube rasmi imetengeneza YouTube GIF zinapatikana kwa watumiaji wa Kompyuta, kipengele hiki kitacheza GIF ya sekunde 3 unapoweka “pointer” […]

AfriCar Group inatafsiri tovuti zake katika lugha 10 ili kuongeza watumiaji

Intaneti yarejea Somalia baada ya wiki tatu

Huduma za mtandao wa intaneti zimerejea nchini Somalia baada ya kukatika kwa zaidi ya wiki tatu na kuigharimu nchi hiyo ya Pembe ya Afrika kiasi cha dola milioni 10 kwa siku, wamesema maafisa nchini humo. Hormuud Telecom, kampuni kubwa zaidi ya mawasiliano nchini Somalia, ilitangaza kurejeshwa kwa huduma ya mawasiliano kupitia ujumbe mfupi kwa wateja […]

AfriCar Group inatafsiri tovuti zake katika lugha 10 ili kuongeza watumiaji

Apple imeonyesha emoji mpya zinazokuja kwenye vifaa vya iOs na macOS

Emoji mpya zipo njiani leo tarehe  17/07/2017 ni siku ya Emoji Duniani. Je, unatumia bidhaa za Apple? Je, unapenda emoji? Unataka kupata emoji nyingi zaidi? Ikiwa umejibu NDIO kwenye maswali hayo, basi nina habari njema kwako: Apple imetangaza leo kwamba itaongeza emoji mpya ambazo zitatoka na kutumia katika vifaa vya iOs,macOS na watchOS mbeleni mwaka […]

AfriCar Group inatafsiri tovuti zake katika lugha 10 ili kuongeza watumiaji

Opera Mini ina watumiaji milioni 100 Afrika

Opera, kampuni ya programu kutoka Norway inayojulikana zaidi kwa vivinjari (browsers) vya wavuti, imetoa Ripoti yake ya State of Mobile Web Report Africa 2016, ambayo inaonyesha mwenendo wa mtandao wa simu katika bara zima. Ripoti hiyo inaonyesha kwamba Opera sasa ina watumiaji milioni 100 Afrika, na hisa za soko 86.41% nchini Kenya, asilimia 71.83 nchini […]

AfriCar Group inatafsiri tovuti zake katika lugha 10 ili kuongeza watumiaji

Facebook Sasa Ina Watumiaji Wa Kila Mwezi Bilioni 2

Facebook imetangaza kuwa sasa ina watumiaji zaidi ya bilioni 2 kila mwezi. Idadi hiyo imeongezeka kutoka jumla ya bilioni 1.94 ambayo kampuni hiyo ilisema kama sehemu ya ripoti yao ya mapato ya hivi karibuni iliyotoka mwezi Mei. Mark Zuckerberg alitoa habari hiyo moja kwa moja, na Fast Company ina hadithi juu ya jitihada za Facebook […]

AfriCar Group inatafsiri tovuti zake katika lugha 10 ili kuongeza watumiaji

Google yapigwa faini ya dola bilioni 2.7 kwa kuzuia ushindani wa Kibiashara

Google imepigwa faini ya ya dola bilioni 2.7 na tume ya ulaya baada ya tume hiyo kuamua kuwa Google ilikuwa imekiuka mamlaka yake ya kuweka matangazo yake binafasi kuwa ya kwanza. Faini hiyo ndiyo kubwa zaidi iliyotolewa na tume ya ulaya hadi leo, kwa kampuni ambayo imelaumiwa kwa kukiuka sheria za biashara. Amri hiyo pia […]

AfriCar Group inatafsiri tovuti zake katika lugha 10 ili kuongeza watumiaji