Home Elimu
[xgrid layout="1" condition="" order="DESC" featured="1" cats="64" speed="5000" count="5"]

Elimu

Tigo imeboresha mafunzo ya Tehama Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)

Kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, imetoa msaada wa kompyuta 47 zenye thamani ya Sh. milioni 71 kwa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ili kuimarisha juhudi za taasisi hiyo za kutoa elimu ya juu nchini. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Tigo, Simon Karikari, akikabidhi kompyuta hizo, alisema kuwa kupitia sera ya uwajibikaji, kampuni hiyo imejikita […]

Tweet ya Obama Kuhusu Ghasia za Charlottesville Imependwa Zaidi Katika Historia ya Twitter

Top 10 ya vyuo vikuu bora zaidi duniani mwaka 2017

Najua watu wengi mnadhani Chuo Kikuu cha Harvard kilichopo Marekani ndio bora duniani inapotajwa list ya Vyuo Vikuu bora Duniani kwa kuwa kimetoa watu mashuhuri katika fani za Siasa, Sayansi, Tiba na Teknolojia. Orodha mpya ya kila mwaka ya vyuo vikuu bora zaidi duniani imetangazwa na QS World University Ranking June 9, 2017 ambapo chuo kikuu cha […]

VSOMO: Veta, airtel kuwafuata wanafunzi wa ufundi

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Joseph akamatwa na bastola na risasi 13

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Joseph, Lazaro Mbise (23) anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kosa la kukutwa na bastola pamoja na risasi 13 ambayo alimwibia baba yake. Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro amesema mwanafunzi huyo alipokamatwa alikiri kuiba bastola hiyo pamoja na fedha kiasi cha Sh800, 000. […]

VSOMO: Veta, airtel kuwafuata wanafunzi wa ufundi

Je Ni Kweli Walimu Hawana Thamani ?

Ukikaa karibu na walimu wengi , wanalalamika hawapewi thamani inayohitajika wanadai wanafanya kazi kubwa lakini mshahara ni mdogo, wengine wanasema hawapati muda wa ziada kufanya kazi zingine ili kujiongezea kipato pia makato ni mengi sana na hawapati stahiki zao kwa wakati. Nikianza kuandika mambo magumu ambayo walimu wanadai kukumbana nayo nitajaza huu ukurasa, kwa ufupi tu: 1: […]

VSOMO: Veta, airtel kuwafuata wanafunzi wa ufundi

Serikali yatangaza ajiri mpya kwa walimu 2016/2017

Serikali imesema jumla ya walimu 3,081 wameajiriwa, hivyo bado kuna nafasi ya walimu 1,048 kati ya nafasi 4,129 za walimu wa Sayansi na Hisabati zilizotolewa kibali cha ajira. Taarifa hiyo imetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) George Simbachawene na kuwataka walimu wote walioajiriwa kuripoti katika […]

VSOMO: Veta, airtel kuwafuata wanafunzi wa ufundi

Maneno/Misamiati adhimu ya Kiswahili-Kiingereza

Habari wana mediahuru! Lengo la mediahuru ni kuelimisha na kuburudisha wadau wake. Leo nipo kielimu zaidi, hapa nimekuwekea maneno ya kiswahili ambayo watu wengi hawayatumii na maana zake kwa kiingereza. Karibuni tujifunze kwa pamoja kama mada inavyojieleza. Tarakilishi=Computer. Mtandao=Network. Mdahalisi=Internet. Barua pepe=E-Mail. Tovuti=Website. Peruzi=To surf. Nukushi=Fax. D.N.A=Shanga za urithi. Uhandisi wa maumbile=Genetic Engineering. Bioanuai=Biodiversity. Kupachiza=Cloning. Seli […]

VSOMO: Veta, airtel kuwafuata wanafunzi wa ufundi

Kamusi ya TUKI: Kiingereza – Kiswahili/ Kiswahili – Kiingereza

Wanafunzi na wazungumzaji wa Kiswahili na Kiingereza wamekuwa wakipata matatizo kutokana na kukosekana kwa kifaa cha kurejelea kinachoakisi hali ya sasa ya lugha ya Kiswahili. Hapa nakuwekea kamusi ya TUKI ambayo imekusudiwa kuziba pengo hilo. Kamusi hii imetayarishwa na wataalamu wa leksikografia wa Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. […]

VSOMO: Veta, airtel kuwafuata wanafunzi wa ufundi

TANZANIA KUWARUDISHA SHULE WALIOPATA MIMBA

Serikali imejipanga kutengeneza mwongozo wa kuwarudisha shuleni wanafunzi waliopata mimba wakiwa masomoni ili kuhakikisha wanapata elimu hadi kufikia ngazi za juu. Hayo yamesemwa jana Jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Msaidizi Masuala Mtambuka kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Venance Manori alipokuwa akifungua warsha ya kuwawezesha Maafisa Waandamizi wa Serikali kutoka nchi sita za […]

VSOMO: Veta, airtel kuwafuata wanafunzi wa ufundi

Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako?

Vitabu vinauwezo wa kubadili kabisa maisha ya mtu yeyote yule ni vizuri kila siku kuongeze kitu kipya kichwani chenye kukuza uelewa wako na kuboresha maisha yako kwa njia yeyote ile. Hapa tujadili nguvu ya vitabu katika maisha ya mtu yawezekana ulisoma wewe au umewahi kukisikia kwa watu tushirikishane. Kuna wengi tumebadilishwa au kuboreshwa maishani mwetu […]

VSOMO: Veta, airtel kuwafuata wanafunzi wa ufundi

Swali La Siku:- Je Hesabu/Mathematics Ina Umuhimu Gani Kwa Wanafunzi wa Sanaa?

Kihalisia Wanafunzi wengi wanaosoma masomo ya sanaa  hawako vizuri kwenye somo la hesabu/maths ila wanalazimishwa kusoma. Ukingia mashule kuna baadhi ya wanafunzi wanaosoma sanaa wapo vizuri sana kwenye masomo ya hayo ila ukiangalia matokeo yao kwenye somo la hesabu utawaonea huruma. Hapa nakuwa na swali ambalo bado nakosa jibu, hivi hesabu/mathematics ni muhimu kwa wanafunzi wa masomo […]

VSOMO: Veta, airtel kuwafuata wanafunzi wa ufundi

Matukio Ya Ajabu Uliyoyafanya Wakati Unasoma Sekondari ?

Tumbie umewahi fanya matukio gani ya ajabu wakati unasoma sekondari (True Confessions) Leo nilikuwa nafikiria jinsi nilivyokuwa msumbufu wakati nasoma sekondari. Nilisoma shule ya serikali inaitwa Malangali Boys ipo mkoani Iringa. Kwa kuwa wali tulikua tunakula mala mbili kwa wiki siku za wali nilikua na mtindo wa kwenda na sahani mbili nachukua ya kwanza kisha kiufundi […]

VSOMO: Veta, airtel kuwafuata wanafunzi wa ufundi

Lugha gani itumike kufundishia Tanzania. Je, Kiswahili au kiingereza?

Kuna watu wanasema kuwa lugha ya kufundishia kwenye mfumo wetu wa Elimu iwe Kiingereza kwa sababu Kiingereza ndo lugha ya dunia na uandishi wa vitabu mbali mbali na ugunduzi wa technologia nyingi ikiwepo kompyuta uko kwenye lugha ya kiingiereza. Kwa upande wa pili, Wako wanaosema kiingereza isiwe lugha ya kufundishia kwenye shule na vyuo vyetu. […]

VSOMO: Veta, airtel kuwafuata wanafunzi wa ufundi

ACACIA, UDSM INKS MOU TO IMPROVE ENGINEERING INDUSTRY IN THE COUNTRY

THE University of Dar es Salaam (UDSM) has signed  a renewed Memorandum of Understanding (MoU) with Acacia Mining that would support 52 students  and staff in various areas hence improve quality of engineering sector . Speaking shortly before signing of the MoU on Tuesday in Dar es Salaam , Deo Mwanyika , who is Acacia Vice President (Corporate Affairs) , […]

VSOMO: Veta, airtel kuwafuata wanafunzi wa ufundi

Je kusoma Boarding school ni bora kwa mtoto wa kike au wa kiume?

Kuna tabia au mazoea mapya siku hizi ambapo wazazi wanaamua kupeleka watoto wao shule za bweni. Wengine wanafanya hivyo kuanzia chekechea. Ila familia nyingi huwa zinachagua mtoto gani aende shule ya bweni, unakuta mtoto wa kike anapelekwa bweni wakati wa kiume anabakia nyumbani au kinyume chake. Je, ni jinsia gani inafaidika zaidi kwa kusoma bweni? […]

VSOMO: Veta, airtel kuwafuata wanafunzi wa ufundi