Home Biashara
[xgrid layout="1" condition="" order="DESC" featured="1" cats="668" speed="5000" count="5"]

Biashara

Benki ya CRDB Kutumia Namba ya Simu Kufungua Akaunti

Baada ya kuwawezesha wateja wa benki hiyo kuhamisha fedha kwenda kwenye simu zao za mkononi, mfumo unaorahisisha kulipia bili za aina tofauti. Mabadiliko ya mfumo wa kibenki na kukua kwa teknolojia kumepelekea Benki ya CRDB kukamilisha mchakato wa kuwawezesha wananchi kufungua akaunti kwa kutumia namba zao za simu za mkononi. Mpango huo umebainishwa na Mkurugenzi […]

Faida ya mabenki nchini Tanzania imeporomoka, Je uchumi wetu unaendelea?

Faida ya mabenki nchini Tanzania imeporomoka, Je uchumi wetu unaendelea?

Kwa mujibu wa gazeti la “THE CITIZEN”, faida katika mabenki mbalimbali makubwa hapa nchini Tanzania imeporomoka. Mwaka jana benki ya NMB walipata faida ya bilioni 45, mwaka huu bilioni 35, sawa na upungufu wa bilioni 10. Kwa upande wa benki ya CRDB mwaka jana walipata faida ya bilioni 27, mwaka huu ni bilioni 13, sawa […]

Benki ya CRDB Kutumia Namba ya Simu Kufungua Akaunti

AkiliPay ni Jukwaa la Malipo ya Digital Linaloboresha na Kukuza Uchumi

AkiliPay, iliyoanzishwa na Juma Kapaya ni kampuni ya FinTech iliyoko Dar es Salaam-Tanzania, iliyoanzishwa kwa maono ya kusaidia maendeleo ya uchumi ya uchumi unaoendelea na kuboresha kiwango cha maisha ya watu wake kwa njia ya malipo ya digitali. Ufumbuzi wa malipo ya digital uliotolewa umeundwa ili kwenda sawa na uendelezaji wa uchumi wa maisha na […]

Benki ya CRDB Kutumia Namba ya Simu Kufungua Akaunti

Safaricom Kuzindua Jukwaa la eCommerce, Masoko

Kampuni kubwa ya mawasiliano nchini Kenya, Safaricom inajiandaa kuzindua jukwaa lake la e-commerce, Masoko katika wiki zijazo. Jukwaa hilo litatoa fursa kwa wafanyabiashara wa ndani, ikiwa ni pamoja na maduka makubwa, na wateja kuingiliana na kufanya biashara ikiwa ni jitihada za Safaricom kuongeza thamani ya malipo ya M-Pesa (Lipa na M-Pesa). Kama ilivyo kwa jukwaa […]

Benki ya CRDB Kutumia Namba ya Simu Kufungua Akaunti

Ringier imenunua hisa 100% za BuyrentKenya, Sasa kushindana Afrika Mashariki

BuyRentKenya sasa imenunuliwa na Ringier One Africa Media na itaingia katika ROAM (ushirikiano unaotaka kufanyika¬† kati ya Ringier na One Africa Media) katika hatua ya kujenga kundi kubwa barani Afrika la classifieds. Jamie Pujara, Co-founder na Mkurugenzi Mtendaji wa BuyRentKenya amesema yeye na mshiriki wake wataiacha kampuni hiyo na kuwekeza muda wao katika changamoto mpya […]

Benki ya CRDB Kutumia Namba ya Simu Kufungua Akaunti

BRELA: Sasa unaweza kusajili Kampuni na Biashara kwanjia ya Mtandao

Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela) unatarajia kuzindua mfumo wa usajili wa kampuni na biashara kwa njia ya mtandao. Baada ya mchakato wa muda mrefu, mfumo huo utazinduliwa mwezi ujao lakini kila Mtanzania anapaswa kuwa na kitambulisho kinachotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) ili kuhudumiwa kwa urahisi. Ofisa Mtendaji Mkuu wa […]

Benki ya CRDB Kutumia Namba ya Simu Kufungua Akaunti