Home Apps
[xgrid layout="1" condition="" order="DESC" featured="1" cats="482" speed="5000" count="5"]

Apps

Sasa unaweza kutumia PayPal kupitia app ya simu ya Skype kutuma pesa

Mtandao mkubwa wa malipo mtandaoni ambao bado unakua, PayPal imetangaza makubaliano mpya na Skype ambayo yatawawezesha watumiaji katika nchi 22 ulimwenguni kote kutuma fedha kwa watumiaji wengine wa Skype kupitia toleo la jipya la app ya simu ya Skype. Hii inaongeza uwezo wa PayPal kufikia watu wengi zaidi- app ya Skype imepakuliwa mara zaidi ya […]

Google “GBoard Keyboard” sasa inakuwezesha kutumia Maps na YouTube ndani ya app

Google “GBoard Keyboard” sasa inakuwezesha kutumia Maps na YouTube ndani ya app

Google inaonyesha kuwa na app kwajili ya kazi zote muhimu za simu za Android, kwanzia “Keep kwajili ya kuchukua note, Pixel launcher na hata app ya keyboard. Bidhaa zote hizi zinajaribu kuwaleta wateja kwenye huduma za Google zinazoingiza fedha nyingi kama vile injini ya utafutaji na YouTube. Lengo hilo linabakia kuwa kweli hata katika sasisho […]

Sasa unaweza kutumia PayPal kupitia app ya simu ya Skype kutuma pesa

Apple Imeondoa VPN Apps Kwenye China App Store Ambazo husaidia Watumiaji wa Internet Kuepuka Udhibiti

Apps zilizotengenezwa na makampuni ya kigeni kuwasaidia watumiaji wa intaneti nchini China kutumia mitandao iliyofungiwa na nchi hiyo zimefutwa kwenye duka la programu la Apple app store. Apple imefuta baadhi ya apps za mtandao wa kibinafsi (virtual private network) kutoka kwenye Apps Store yake nchini China, hatua ambayo inaweza kuzuia uwezo wa watumiaji kupita firewall […]

Sasa unaweza kutumia PayPal kupitia app ya simu ya Skype kutuma pesa

Gmail Smart Reply sasa inasupport Kihispania

Wiki chache zilizopita, Google waliongeza kipengele cha Smart Reply kwenye Gmail ambacho kinakuwezesha kujibu barua pepe zako kwa kutumia moja kati ya misemo mitatu ambayo imechaguliwa kulingana na mtindo wako wa kuandika. Inafanya kazi kwa kushangaza, na badala ya kutuma moja kwa moja, hufungua skrini ya kuandika huku maandiko yakiwa tayari yameandikwa ili uweze kuhariri […]

Sasa unaweza kutumia PayPal kupitia app ya simu ya Skype kutuma pesa

Firefox Focus imetoa toleo jipya baada ya kufikisha download milioni 1

Kutokana na kiasi kikubwa cha taarifa kinachokusanywa kutoka kwetu siku hizi, ni sahihi kusema kuwa suala la faragha linachukuliwa kama jambo kubwa na muhimu kwa watu wengi hivi sasa. Ndiyo sababu “ad blockers” zinazidi kuwa maarufu, pamoja na programu zingine na vipanuzi (extensions) zenye malengo ya kuzuia kiasi cha taarifa ambazo zinakusanywa kwetu. Hii pia […]

Sasa unaweza kutumia PayPal kupitia app ya simu ya Skype kutuma pesa

Jinsi Ya Kuchukua Screenshot Bila Kutumia Kibonyezo Cha Kuzima Simu Kwenye Android

Screenshot ni njia rahisi sana ya kufikisha ujumbe kama ulivyo kwa mlengwa, maana ujumbe unaenda kama ulivyo bila ya kuongeza neno lolote. Kwa upande wako huwa unafanikiwa kupiga ‘screenshot’ kwa urahisi au ndio mpaka ubonyeze vibonyezo vingi kwa wakati mmoja? Kama jibu ni ndio basi leo Mediahuru tunakuletea maujanja ya Screenshot bila ya kubonyeza vibonyezo […]

Sasa unaweza kutumia PayPal kupitia app ya simu ya Skype kutuma pesa

Top 10 Android App Updates Wiki Hii: Deezer, YouTube,Firefox

Karibu tena kwenye safu yetu ya kila wiki  Top 10 Android App Updates , ambapo tunaangalia programu/apps nyingi zilizoboreshwa wiki hii. Tumegundua kwamba moja ya njia bora ya kugundua programu muhimu ni kutafuta zile ambazo zimefanyiwa update na waendelezaji (developers) badala ya kuchagua programu/app zilizo pakuliwa zaidi. Kama ilivyokuwa hapo mwanzo, tutafafanua masasisho madogo kwenye […]

Sasa unaweza kutumia PayPal kupitia app ya simu ya Skype kutuma pesa

Mgeni Wetu: Zifahamu App 10 Mpya Za Android

App mpya zinahitaji upendo pia, sawa? Kila siku kuna maelfu ya app yanaongezwa kwenye Google Play store, lakini nyingi zinaishia kutotambuliwa na hazipati heshima zinayostahili. Tumeonyesha katika siku za nyuma kwamba jumuiya hii (Mediahuru) inaweza kugundua app nzuri na kuzipeleka kwenye viwango vipya. Safu yetu ya kila wiki ya Mgeni Wetu inaonyesha apps mpya zilizopakuliwa […]

Sasa unaweza kutumia PayPal kupitia app ya simu ya Skype kutuma pesa

Google imeongeza vipengele vya usalama ili kusaidia kupunguza uharibifu kutoka kwenye app zisizohakikiwa

Google inaongeza mfumo wa ulinzi na usalama ili kusaidia kupunguza hatari kutoka kwenye App/programu ambazo hazijathibitishwa. Sasa, skrini mpya ya onyo itaonekana kwenye programu yoyote inayotoka kwa watengenezaji ambao hawajawahi kupitia mfumo wa kuthibitisha app wa Google. Hii imetokana na uharibifu uliofanywa kwenye Google Docs mwezi Mei ambao ulijaribu kuwadanganya watumiaji kutuma spam e-mails. Skrini […]

Sasa unaweza kutumia PayPal kupitia app ya simu ya Skype kutuma pesa

App ya Google Duo imepakuliwa zaidi ya mara milioni 100 kwenye Android na iOS

Ilichukua miezi tisa kwa Duo app ya Google ya ku-stream video kufikisha downloads milioni 50 za kwanza. Imechukua miezi miwili tu kufikia downloads milioni 50 zingine, na hivi sasa Duo imewekwa kwenye simu zaidi ya milioni 100. Ingawa hakuna takwimu ambazo zinatuambia mara ngapi Duo inatumika, Google imerahisisha matumizi ya Duo. Mwezi machi mwaka huu […]

Sasa unaweza kutumia PayPal kupitia app ya simu ya Skype kutuma pesa

Google Maps sasa inaweza kukuambia wakati sahihi wa kusafiri

Google inaongeza kipengele kipya kwenye Google Maps ambacho hakitakuambia tu jinsi ya kufika mahali fulani au safari itachukua muda gani, lakini itakuambia wakati mzuri wa kuondoka. Kipengele kipya kinapatikana tu kwa watumiaji wa Maps kwenye Android, na kitaonekana wakati unajaza uelekeo. Pamoja na kukuonyesha muda na umbali wa kawaida unaohesabiwa, grafu mpya itatokea, inayoonyesha muda […]

Sasa unaweza kutumia PayPal kupitia app ya simu ya Skype kutuma pesa

SoundCloud inasema “it’s here to stay” richa ya uvumi kuwa imefilisika

Siku za karibuni kumekuwa na taarifa zinazosikitisha kuhusu huduma ya “Ku-Stream” muziki kutoka Berlin, SoundCloud, ambayo wiki iliyopita ilipunguza asilimia 40 ya wafanyakazi wake bila ya onyo. Mkuu wa kampuni hiyo amejibu tuhuma hizo kwa kusema “SoundCloud is here to stay.” Katika chapisho la blogu lililowekwa kwenye tovuti ya kampuni hiyo , Mkurugenzi Mtendaji Alex […]

Sasa unaweza kutumia PayPal kupitia app ya simu ya Skype kutuma pesa

Mwanamke ampa talaka mumewe kwa sababu ya kupuuza ujumbe mtandaoni

Umewahi kupuuza ujumbe wa mpenzi au mchumba wake? Tahadhari: huenda hilo likatumiwa dhidi yako kortini. Mwanamke mmoja nchini Taiwan ameruhusiwa kumpa talaka mume wake, kwa kutumia ishara kwamba ujumbe wake aliomtumia mumewe ulisomwa kama ushahidi kwamba mumewe alikuwa akimpuuza. Mtandao wa kijamii wa Line unaonesha mumewe alikuwa akifungua ujumbe huo, lakini hakujibu. Jaji amemkubalia ombi […]

Sasa unaweza kutumia PayPal kupitia app ya simu ya Skype kutuma pesa

Amazon inaandaa App ya kutuma na kupokea ujumbe inayoitwa Anytime

Imeripotiwa kuwa Amazon.com inataka kuzindua programu yake ya ujumbe inayoitwa Anytime, kwa mujibu wa ripoti kutoka AFTV News. Kampuni hiyo kubwa mtandaoni inayojihushisha na biashara ya kuuza na kununua bidhaa katika mtando imeanza kufanya tafiti kwa wateja wake juu ya vipengele muhimu vya mtandao huo, ingawa haijulikani bidhaa ya mwisho itakuwa ya aina gani. App […]

Sasa unaweza kutumia PayPal kupitia app ya simu ya Skype kutuma pesa

Jinsi ya Kutuma Mafaili ya Aina Yeyote kupitia WhatsApp

Je unatamani kutuma mafaili ya aina yeyote ile kupitia WhatsApp ? Ndio sasa inawezekana, toleo jipya la WhatsApp linamuwezesha mtumiaji kutuma faili la aina yeyote kwenda kwa mtu mwingine. Toleo hilo jipya linapatikana kwa watumiaji wa simu za Android na iOS kupitia masoko ya apps. Mwaka jana waliwezesha utumaji wa mafaili ya mfumo wa .doc, […]

Sasa unaweza kutumia PayPal kupitia app ya simu ya Skype kutuma pesa

NQ Vault App Bora Kwa Ajili Ya Kuficha Sms, Calls, Picha na Video zako!

Simu zimekuwa kitu muhimu kwenye maisha yetu ya kila siku, kukua kwa teknolojia ya simu kumefanya simu kuwa kama kiungo mojawapo cha mwili. Hivi sasa watumiaji wengi wa simu janja (smartphones) wanapenda kushare picha na video fupi katika mitandao ya kijamii kama instagram, facebook, twitter au whatsapp. Sio jambo baya lakini vipi linapokuja suala la […]

Sasa unaweza kutumia PayPal kupitia app ya simu ya Skype kutuma pesa

Top 10 Android App Updates Wiki Hii: TuneIn Radio, WhatsApp, Skype

Karibu tena kwenye safu yetu ya kila wiki  Top 10 Android App Updates , ambapo tunaangalia programu/apps nyingi zilizoboreshwa wiki hii. Tumegundua kwamba moja ya njia bora ya kugundua programu muhimu ni kutafuta zile ambazo zimefanyiwa update na waendelezaji (developers) badala ya kuchagua programu/app zilizo pakuliwa zaidi. Kama ilivyokuwa hapo mwanzo, tutafafanua masasisho madogo kwenye […]

Sasa unaweza kutumia PayPal kupitia app ya simu ya Skype kutuma pesa

Mgeni Wetu: Zifahamu App 10 Mpya Za Android

App mpya zinahitaji upendo pia, sawa? Kila siku kuna maelfu ya app yanaongezwa kwenye Google Play store, lakini nyingi zinaishia kutotambuliwa na hazipati heshima zinayostahili. Tumeonyesha katika siku za nyuma kwamba jumuiya hii (Mediahuru) inaweza kugundua app nzuri na kuzipeleka kwenye viwango vipya. Safu yetu ya kila wiki ya Mgeni Wetu inaonyesha apps mpya zilizopakuliwa […]

Sasa unaweza kutumia PayPal kupitia app ya simu ya Skype kutuma pesa

Top 10 Android App Updates Wiki Hii: Snapchat, Google, GroupMe