Nyingine

Breaking News: Kwa mara ya kwanza, Rais Magufuli kamteua mpinzani kwenye wizara

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzaia John Pombe Magufuli, leo April 4, 2017 amefanya uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji kwa kumteuwa Prof. Kitila Alexander Mkumbo huku Mhandisi Mbogo Futakamba aliyekuwa kwenye nafasi hiyo amestaafu.

Prof. Kitila Mkumbo ambaye ni moja kati ya viongozi wa chama cha ACT Wazalendo, kabla ya hapo  alikuwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ‘UDSM’.

SOMA NA HII:  Jinsi ya Kuepuka Makosa 5 Yanayofanywa na Wamiliki wa Website

Zinazohusiana

Leave a Reply

Your email address will not be published.