Biashara

Biashara ya alizeti yashamiri Kongwa

BIASHARA ya alizeti imeshamiri katika mji mdogo wa Kibaigwa wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma. Wakizungumza hivi karibuni baadhi ya wakulima walisema mwaka huu bei iko juu kutokana na mavuno kuwa machache yalikosababishwa na uhaba wa mvua.

SOMA NA HII:  Fahamu mahitaji na namna ya Kupata Mashine ya Risiti ya Kielektroniki (EFD)

Zinazohusiana

Leave a Reply

Your email address will not be published.