Bei ya RAM za Kompyuta imeongezeka kwa 40% mwaka 2017


Ripoti iliyochapishwa na IC Insights inaonyesha kuwa 2017 itafikisha ongezeko la 40% kwa bei ya modules za DRAM.

Hii itakuwa ni ongezeko kubwa zaidi la kila mwaka kwa soko la DRAM, na inaripotiwa ni kutokana na “oversupply” ya mwaka jana ya DRAM.

Wafanyabiashara kwa haraka walinunua DRAM kwa bei za chini na sasa wanauza kwa bei za juu.

Samsung, SK Hynix, na Micron wametangaza kupata faida kubwa kutokana  na uhaba wa NAND na DRAM, na wanatarajiwa kuongeza uwezo wa DRAM wa kizuizi kulinda sehemu yao ya soko na kwenda mbele, ilisema ripoti.

SOMA NA HII:  Kampuni ya Samsung Yazindua Diski ya SSD Kubwa Zaidi Duniani

Hii inaweza kusababisha bei za DRAM kushuka zaidi na kuwa na bei ya kawaida.

0 Comments

Your email address will not be published. Required fields are marked *