Nyingine

Bashe: CCM acheni unafiki, mimi nimeshakamatwa na watu wa usalama.

Mbunge HusseinBashe awataka wabunge CCM kuacha unafiki, akisema yupo tayari kufukuzwa ila kweli alikamatwa na maafisa wa usalama wa taifa.

‘CCM acheni unafiki mimi nimeshakamatwa na watu wa usalama mnasema hawakamati, kwa hili nipo tayari mniondoe kwenye chama.

Huu ni muendelezo wa alichokizungumza jana Bungeni kuhusu usalama wa Taifa kuhusika na utekaji. Zaidi soma: Bashe: Kuna kikundi ndani ya TISS kinahusika na utekaji

SOMA NA HII:  Kuwa mkweli! Jina gani umetumia ku-save namba ya simu ya mama yako?

Zinazohusiana

JIUNGE NA MAZUNGUMZO, TOA MAONI YAKO HAPA

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Lako