Nyingine

Baada ya Trump Kumkosoa Snoop Dogg, Je Walio Mporomoshea Matusi Wapo Sahihi?

Baada ya Trump kumkosoa Snoop kwa kumkejeli kwenye video ya wimbo wake ambayo inaonesha akimpiga risasi mtu anayefanana na Rais huyo.

“Can you imagine what the outcry would be if @SnoopDogg, failing career and all, had aimed and fired the gun at President Obama? Jail time,” aliandika Trump kwenye Twitter.

Wasanii mbalimbali wa Marekani, akiwemo Bow WOw na T.I wamemjibu Trump kwa kumporomoshea matusi.

Kwa mtazamo wako unaona wapo sahihi kumjibu Trump ? ……..Ama inapaswa kumheshimu Rais.

Zinazohusiana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Check Also

Close