Home Nyingine Baada ya Kenya Na Uganda Kudai Will Smith Yupo Kwao, Ridhiwani Kikwete Ameandika Haya

Baada ya Kenya Na Uganda Kudai Will Smith Yupo Kwao, Ridhiwani Kikwete Ameandika Haya

0
0


Baada ya  picha za  staa kutoka nchini Marekani, Will Smith kusambaa kwenye mitandao ya kijamii zikimwonyesha akiwa Airport Arusha na kuwepo kwa madai kuwa alielekea mbuga ya wanyama Serengeti.

Huko nchini Kenya, Ghetto Radio wameripoti kuwa ‘Will Smith in Kenya’  , Uganda nao wameandika ‘Hollywood Movie Star @willsmith has made a call on Uganda Africa #ugandatourism.

Post zilizoandikwa na tovuti za kenya zina potosha na kulazimisha ionekane staa huyo amekuja nchini kwao huku zikitumia picha zile zile ambazo zimepigwa Tanzania, Ridhiwani Kikwete mbunge wa Chalinze kupitia ukurasa wake wa instagram ameandika haya:-

“Yaaani ni haya mambo yanaweza sababisha watu wasiongee ! Sasa kila nchi ya ukanda huu inadai alikuwapo kwao. Ninachojua mie alikuwa Arusha,Tanzania na hii picha alipiga Airport. Sasa sijui nn?”

(0)

LEAVE YOUR COMMENT

Your email address will not be published. Required fields are marked *