Kompyuta

AutoReply 2.2 – Email Auto-Responder

on

AutoReply ni rahisi kutumia, lakini ni autoresponder yenye nguvu. Inakosa vipengele vya juu vinavyohitajika kwa madhumuni ya masoko (marketing purposes), AutoReply ni nzuri kwa auto-replies wakati wa mapumziko, kwa mfano

Tembelea Tovuti Yao

AutoReply 2.2 - Email Auto-Responder

Faida

 • AutoReply ni rahisi kuiset na kutumia
 • Inakuwezesha kuchagua ni ujumbe gani inapaswa kujibu
 • Haijibu ujumbe ule ule kwa mtumiaji mmoja/sawa

Hasara

 • AutoReply inaruhusu POP accounts tu
 • Inakosa filters zinazobadilika na automation
 • Vigezo vichache vya ufanisi wa ujumbe

Maelezo

 • AutoReply hutuma majibu ya moja kwa moja kwa barua pepe zinazoingia katika akaunti nyingi za POP.
 • Kila akaunti inaweza kuwa na ujumbe tofauti katika AutoReply.
 • Majibu yanayozalishwa moja kwa moja yanaweza kujumuisha mtumaji wa barua pepe wa awali, somo (subject), mpokeaji (recipient) na tarehe.
 • AutoReply inaweza kusanidi (configured) kutuma majibu tu kwa barua pepe zinazohusiana na vigezo fulani.
 • Unaweza kutaja kwa usahihi mara ngapi AutoReply inapaswa kujibu barua kutoka kwa mtumaji mmoja.
 • AutoReply inafanya kazi kwenye Windows 9x / ME / NT / 2000/3 / XP / Vista.
SOMA NA HII:  Jinsi ya Kuzuia "Automatic Updates" Kwenye Windows 10

Mapitio na Mwongozo – AutoReply 2.2 – Email Auto-Responder

Mteja yeyote wa barua pepe ( email client) mwenye heshima na filters zinazoweza kubadilika anaweza kujibu barua moja kwa moja wakati haupo ofisi au  nyumbani-ikiwa unaweka muda mwingi katika kuiweka na kuifanyia maboresho.

 AutoReply inaweza kufanya yote hayo kwa urahisi zaidi, na kwa mtindo rahisi. AutoReply inakuwezesha kuchagua majibu tofauti kwa akaunti tofauti, na unaweza kuitumia kujibu barua zinazoingia tu zinazolingana na vigezo fulani.

Kwa bahati mbaya, filters hizi zinakosa kubadilika, na huwezi kutuma majibu tofauti kwa ujumbe tofauti. Ujumbe wa kibinafsi (Message personalization) ni mdogo kiasi flani katika AutoReply. Lakini imesanidiwa(configured) kujibu kwa mtumaji mmoja mara moja tu (au mara moja kwa wiki labda).

SOMA NA HII:  Jinsi ya Kurekebisha "Display Problems" kwenye Windows kwa kutumia Driver Update

Tembelea Tovuti Yao

About Mediahuru Team

Hapa Mediahuru, tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. Tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi kila siku. - MediahuruDotCom | info@mediahuru.com

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published.