Author: Mediahuru

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili.

1 2 3 31 24 / 725 POSTS
Kila mtu ananiuliza kuhusu blogs. Ni nini? Je, ninawezaje kumiliki blog? Nitaipata wapi? Kwa hiyo nitajibu baadhi ya maswali haya katika jarida la ...
Hii ni orodha ya njia za mkato za keyboard katika Mozilla Firefox. Urambazaji Amri Mkato Nyuma Alt + ← Backspace Mbele Alt + → Shift + Back ...
Hapa kuna ukweli wa kuvutia kuhusu Kibodi (kutoka Kiingereza: "keyboard"), si tu keyboard maarufu ya QWERTY, bali tunaangalia na baadhi ya aina nyingi ...
Ikiwa unataka kutumia mpangilio wa keyboard wa Dvorak na unatumia Windows, unaweza kufuata hatua zilizopo hapa chini. Kidokezo: Hata kama unatumia ki ...
Ndege moja ya Malaysia ililazimika kutua katika eneo la Australia ya kati baada ya tatizo la kiufundi kuifanya kuanza kutetemeka ikiwa angani, wamesem ...
Msanii wa muziki, Vanessa Mdee anayefanya vizuri katika soko la muziki nchini Tanzania ameendelea kuwa na wiki ya kihistoria ambayo ilianza kwa kuzind ...
Wanasayansi wamepiga hatua kubwa katika matibabu ya binadamu kwa kupata kipimo cha damu kinachogundua aina tofauti za Saratani. Timu ya Watafiti ku ...
Kampuni mbili zimetengeneza pampu ambazo zitawasaidia wanawake wanaonyonyesha kukama maziwa na kuyahifadhi wakati wakiwa safarini. Wanawake wanaotu ...
Bei ya simu za Tecno siku zote huwa ni nafuu. Unataka kununua simu za hivi karibuni na bora zaidi za Tecno kwenye soko la nchini Tanzania ? Kwa bahati ...
Tecno R7 ni simu nyingine ya bei nafuu kutoka kampuni ya China - Tecno. Hii ni simu nzuri kwa watumiaji hasa wateja wenye bajeti ndogo na hawawezi kum ...
Habari wana Mediahuru na wadau wa teknolojia. Kila siku tunauliza swali kwa wadau wetu kuhusu mada mbalimbali za teknolojia, lengo la kuanzisha uta ...
Ikiwa unafikiri gari la Batman lilikuwa ni uchawi wa filamu tu basi unajidanganya, kwa sababu Tumbler ilitengenezwa tangu mwanzo na ilikuwa na uzito w ...
Ndani ya miaka michache ijayo, usishangae kuona drone isiyokuwa ya kawaida kwenye mlango wa nyumba yako ikiwa imekuletea pizza au vifurushi  kwa sabab ...
Tecno Mobile ni kampuni ya simu za mkononi inayomilikiwa na kampuni ya Transsion Holdings ambayo makao yake makuu yapo nchini Hong Kong - China, kampu ...
Idadi ya simu za tecno  zilizopo sokoni inaweza kutumiwa vibaya na watu wanaotaka kupata faida kubwa kwa kuuza simu bandia. Lakini usiwe na wasiwasi, ...
Tangu binadamu alipofanikiwa kuunda ndege na kupaa angani, wataalamu wamekuwa wakijitahidi kuunda ndege kubwa na kubwa zaidi. Wakati wa Vita Vikuu vy ...
Hivi sasa simu za tecno zinaongoza soko la Tanzania. Siri ya mafanikio hayo ni kutoa simu nzuri za Android kwa bei nafuu sana. Mara nyingi bei ni moj ...
Unaweza kupata maoni tofauti kuhusu simu za Tecno nchini Tanzania. Baadhi ni sifa nzuri sana wakati sifa zingine ni mbaya kabisa. Wakati huo huo kuong ...
Benki kuu nchini Tanzania imefuta leseni za benki tano na kuziweka chini ya mrasimu. Benki kuu ilisema benki hizo zinakumbwa na matatizo ya kifedha. ...
Kamishna wa Elimu nchini Uingereza Anne Longfield ameweka msisitizo watoto kuanzia shule za msingi nchini humo kufundishwa zaidi kuhusu uelewa wa ma ...
Simu za Tecno ni moja kati ya bidhaa maarufu zaidi za simu za android nchini Tanzania, na Tecno Mobile ni moja ya kampuni za simu maarufu zaidi nchi ...
Tecno Phantom 6 Plus ni simu ya hivi karibuni kutoka kwenye mfululizo wa Tecno Phantom. Ilizinduliwa pamoja na Phantom 6 ya kawaida . Phantom 6 Plus n ...
Tecno Phantom 6 ni simu mpya ya 2016 kutoka kwenye mfululizo wa Tecno Phantom. Ni nyembamba sana na kwa kiasi kikubwa ina uwezo sawa na simu ya 2015 ( ...
Simu ya Tecno L9 Plus imekuwa mada kubwa kwenye majukwaa ya mtandaoni, tovuti nyingi hazijaeleza uwezo wa simu ya Tecno L9, vizuri Sisi kama Mediahuru ...
1 2 3 31 24 / 725 POSTS